Mke mwenye wivu uliopitiliza

Mh! Mahaba ya kubadili hadi vitasa! sipendi kununiwa hasa pale kununiwa ni kwa sababu ambazo hazihusu kitu ila wivu wa kukaba hadi nanihii
Mwingine mwenye wivu wa kupitiliza huyu hapa. Aliliamsha dude wakiwa angani ikabidi hadi pilot ashuke ardhini ili kuwafukuza ndani ya ndege.

http://nyp.st/2zoVSAV
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Me nilikuwaga na gfriend wa aina hiyo nikajua ni upendo/wivu wake kwangu so sikuwa namtilia shaka wala kumquat ilia sana mambo yake wala simu zake. Pia nyendo zake niliziamini kwani muda mwingi tupo wote.
Duuuuuh, siku amekwenda salon akaiacha simu yake kwenye charge uzuri pattern nilikuwa nazifahamu.
Niliyokutana nayo humo ni hatari, sms za mabwana kama nane hv tofauti ambao tayari washamkaza wengine wachungaji, maboss wake, hadi fundi carpenter... Sms nyingine ilikuwa ya jana yake katoka kupasuliwa room no 15 guest, mana ndo alipoelekezwa na boss wake.
Hapo ndipo nilipoamini ule usemi wa "mwizi hamwamini mtu yoyote anaona kila mtu naye ni mwizi "
Uzuri nilikuwa simpendi kivile so nikapata strong reason ya kumpiga chini siku hiyohiyo.
Ogopa sana wanawake wenye wivu kupita kiasi, hiyo huwa ni ngao ya kufunikia uchafu wao.
ukweli mchungu brother, umepita mle mle
 
Kuna mambo mengi yasababishayo mtu kuwa na wivu
1. Hulka yake kwa ampendaye kwa dhati.
2. Wivu kutumika kama ngao/siraha ya kujilinda
3. Kutotaka akupoteze/ kumlinda umpendaye
4. Kutokukuamini, maana yawezekana anakujua tabia yako ya mashambulizi kwa sketi zipitazo mbele yako.

Siyo wote wanaotumia wivu kama ngao, wengine wana Upendo wa dhati.
Kaa naye kwa akili nyingi. Acha uchepukaji uwe mwaminifu kwake. Ongeza Upendo ili azidi kukuamini.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom