Mke mwenye wivu uliopitiliza

Kiujumla wanakera sanaaa maana itafka atua ataanza kutukana atandugu zako wakike watoto wa Dada,mjomba,shangazi nk wote wakike wataanza kupata shida,iiujumla mke wa namna hii afai KABISA.
Ndo ninachokiona mbeleni
 
Ndo ninachokiona mbeleni
Kwani watu unafanya nao kazi au wanawake ulio wasave hawajui au huwa ukitaka kiongea nao unaenda pembeni? Unajua ukijiweka huru nawe unakuwa huru kwamtu mwenye akili timamu sizani anaweza piga simu awe mwanamke anamuuliza mme ukaanza kumtukana bila kumsikiliza anatakana nini lakini tumetofautiana yawezekana wewe hujatulia maana kuna me wengine asione sket basi tena
 
Mu nimfanya biashara akija ofisini akakuta mwanamke jua siku iyo nyumbani amani hakuna saa nyingine hua naamua kufanya kweli baada ya kusingiziwa sana nina muda nimekua muaminifu kwake sitoki nje ya ndoa yetu
 
Wadau naomba ushauri,

Mke wangu anawivu unazidi anafika sehemu mpaka anaingia mtandaoni kama Fb na instagram anaangalia wanao like na kucoment kama ni wasichana anawatukana.

Kwenye simu akibahatika kuishika akiingia WhatsApp akaona picha ya kike anachukua namba, kwangu anafuta kwa kweli napata shida anafuta mpaka namba za wateja wangu.
1. cmu usiweke password. passowrd ndiyo huvuta aone ulichoficha humo.
2. akifuta wateja - kama ni kweli basi punguza matumizi home maaana mwambie umewatukana wateja na sina mawasiliano kwa hiyo aelewe hilo.
3, kaa naye mueleweshe - ila na wewe kweli uwe mwaminifu.
 
Me nilikuwaga na gfriend wa aina hiyo nikajua ni upendo/wivu wake kwangu so sikuwa namtilia shaka wala kumquat ilia sana mambo yake wala simu zake. Pia nyendo zake niliziamini kwani muda mwingi tupo wote.
Duuuuuh, siku amekwenda salon akaiacha simu yake kwenye charge uzuri pattern nilikuwa nazifahamu.
Niliyokutana nayo humo ni hatari, sms za mabwana kama nane hv tofauti ambao tayari washamkaza wengine wachungaji, maboss wake, hadi fundi carpenter... Sms nyingine ilikuwa ya jana yake katoka kupasuliwa room no 15 guest, mana ndo alipoelekezwa na boss wake.
Hapo ndipo nilipoamini ule usemi wa "mwizi hamwamini mtu yoyote anaona kila mtu naye ni mwizi "
Uzuri nilikuwa simpendi kivile so nikapata strong reason ya kumpiga chini siku hiyohiyo.
Ogopa sana wanawake wenye wivu kupita kiasi, hiyo huwa ni ngao ya kufunikia uchafu wao.
Huyu mkuu kamaliz kila kitu....hata mimi hii ilinitokea.
Mwanamke alikua na wivu kama nini.
Kumbe ndio ngao ya kufichia uchafu wake ili nijue kama ananipenda sana
 
Kumiliki mpira ni mbinu ya kujirinda.......mtu mwenye tabia hizo jaribu kumfuatilia utagundua mengi......,
 
Me nilikuwaga na gfriend wa aina hiyo nikajua ni upendo/wivu wake kwangu so sikuwa namtilia shaka wala kumquat ilia sana mambo yake wala simu zake. Pia nyendo zake niliziamini kwani muda mwingi tupo wote.
Duuuuuh, siku amekwenda salon akaiacha simu yake kwenye charge uzuri pattern nilikuwa nazifahamu.
Niliyokutana nayo humo ni hatari, sms za mabwana kama nane hv tofauti ambao tayari washamkaza wengine wachungaji, maboss wake, hadi fundi carpenter... Sms nyingine ilikuwa ya jana yake katoka kupasuliwa room no 15 guest, mana ndo alipoelekezwa na boss wake.
Hapo ndipo nilipoamini ule usemi wa "mwizi hamwamini mtu yoyote anaona kila mtu naye ni mwizi "
Uzuri nilikuwa simpendi kivile so nikapata strong reason ya kumpiga chini siku hiyohiyo.
Ogopa sana wanawake wenye wivu kupita kiasi, hiyo huwa ni ngao ya kufunikia uchafu wao.
Kunywa maji mkuu
 
Poleh
 
Huyo eitha amezaa anahisi kyuma yake imetanuka au anatombw..a nje.akirudi tu mwambie naomba simu yako sasa hivi,kwa kumshtukiza uone anachofanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom