Mke mwenye wivu uliopitiliza

Kyawanjubu

JF-Expert Member
May 13, 2017
2,427
2,148
Wadau naomba ushauri,

Mke wangu anawivu unazidi anafika sehemu mpaka anaingia mtandaoni kama Fb na instagram anaangalia wanao like na kucoment kama ni wasichana anawatukana.

Kwenye simu akibahatika kuishika akiingia WhatsApp akaona picha ya kike anachukua namba, kwangu anafuta kwa kweli napata shida anafuta mpaka namba za wateja wangu.
 
Ukimnyima simu anakwambia kuna nini kwenye simu kwakweli napata tabu
 
Me nilikuwaga na gfriend wa aina hiyo nikajua ni upendo/wivu wake kwangu so sikuwa namtilia shaka wala kumquat ilia sana mambo yake wala simu zake. Pia nyendo zake niliziamini kwani muda mwingi tupo wote.
Duuuuuh, siku amekwenda salon akaiacha simu yake kwenye charge uzuri pattern nilikuwa nazifahamu.
Niliyokutana nayo humo ni hatari, sms za mabwana kama nane hv tofauti ambao tayari washamkaza wengine wachungaji, maboss wake, hadi fundi carpenter... Sms nyingine ilikuwa ya jana yake katoka kupasuliwa room no 15 guest, mana ndo alipoelekezwa na boss wake.
Hapo ndipo nilipoamini ule usemi wa "mwizi hamwamini mtu yoyote anaona kila mtu naye ni mwizi "
Uzuri nilikuwa simpendi kivile so nikapata strong reason ya kumpiga chini siku hiyohiyo.
Ogopa sana wanawake wenye wivu kupita kiasi, hiyo huwa ni ngao ya kufunikia uchafu wao.
 
nimekuelewa sana bro
 
Aiseee kumbe ndo walivyo
 
D`ej'a vu
Labda kama kwake ni wa tofaut,ila pia ni watu wa kuish nao kwa akili nyingi sana
 
Hakuwa na hiyo tabia wakati unamuoa? Kama alikua nayo ina maana uliiridhia kwa hiyo kuwa mpole....
 
Kiujumla wanakera sanaaa maana itafka atua ataanza kutukana atandugu zako wakike watoto wa Dada,mjomba,shangazi nk wote wakike wataanza kupata shida,iiujumla mke wa namna hii afai KABISA.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom