Mke mwema ni yupi kati ya hawa niliokutana nao?

dukeclaud

Member
Jun 5, 2013
9
0
Jamani wana jf, nimekuwa na wakati mgumu wa kutambua ni mwanamke yupi anaweza kuwa bora katika maisha yangu ya ndoa yajayo.
kwanza nina sifa saba za wanawake saba niliokutana nao kwa lengo la kuanzisha maisha ya ndoa lakini wote niliwashindwa kwa kuwa kila mmoja alikuwa na tabia ya aina yake ilionishinda,
1. mfujaji wa kipato changu.
2. alitaka nitumike kusaidia nduguze tu.
3. hakuwa mwaminifu wala ukwel wowote baina yetu.
4. alikuwa mtoaji wa siri zote za ndani na kuamin mambo ya nje kuliko ya ndani.
 
hakuna awezaye kumwona mke mwema maana ni mali adimu mke mwema yu wapi!!!!!!!!!!
mke mwema yu ndani yako kijana unayesikia tabia unazo zitaka kagua kama unazo.
 
Naona kumetajwa neno saba kwenye utangulizi lakini kwenye maudhi saba siioni

Sielewi
 
hakuna awezaye kumwona mke mwema maana ni mali adimu mke mwema yu wapi!!!!!!!!!!
Mke mwema yu ndani yako kijana unayesikia tabia unazo zitaka kagua kama unazo.
kama katika saba wooote hakuna anaeendana nae unadhani mwenye tatizo nani?
 
Jamani wana jf, nimekuwa na wakati mgumu wa kutambua ni mwanamke yupi anaweza kuwa bora katika maisha yangu ya ndoa yajayo.
kwanza nina sifa saba za wanawake saba niliokutana nao kwa lengo la kuanzisha maisha ya ndoa lakini wote niliwashindwa kwa kuwa kila mmoja alikuwa na tabia ya aina yake ilionishinda,
1. mfujaji wa kipato changu.
2. alitaka nitumike kusaidia nduguze tu.
3. hakuwa mwaminifu wala ukwel wowote baina yetu.
4. alikuwa mtoaji wa siri zote za ndani na kuamin mambo ya nje kuliko ya ndani.

Omba Mungu, usiwe na papara, Endelea kuchunguza, Jipe muda wa kutosha, vumilia wakati unatafuta na naamini ipo siku utampata mwenye tabia unazozitaka wewe. Wakati huo huo, ni vyema na wewe ukawa mtulivu na kuwa mwenye tabia njema ili iwe rahisi kuwapata wenye tabia njema kama wewe. Maana kama wewe ni kiruka njia unafikiri mwanamke gani mwenye staha zake anaweza kukukubali?
 
Waoe wote. Asie na hili ana lile. Pesa zako utasharena alie muaminifu, mfujaji nae umfichie hela. Asietunza siri usimuambie la siri.
Kila la kheri.
 
kama katika saba wooote hakuna anaeendana nae unadhani mwenye tatizo nani?

ni wazi kwamba mwenye tatizo ni yeye.
kuna wakati sisi binadamu huwa tunalaumu watu lkn ukweli makosa yapo kwetu wenyewe.
huwez ukawa na marafiki saba halafu wote wawe wabaya kwako jiseme kwanza wee unamapungufu gani??
na katika mapungufu yako yupi anayeweza kuyaaccomodate??
 
duh aya bwana

Mpendwa Smile,

Salaam nyingi nazipeperusha kwako kama mchanga wa baharini.ni matumain yangu
u mzima wa afya tele.

Dhumuni la barua hii ni kukusalimia na kukujulia hali yako,mimi naendelea vizuri
kilimo kimepamba moto nikitekeleza dhana ya kilimo ni uti wa mgongo.

Salaam zangu kwa babu na bibi simiyu.
 
Last edited by a moderator:
^^
Mke mwema yuko ndani yako,,tabia unazotaka kagua kama unazo.
^^

526469_376311142467656_1691814000_n.jpg

ajiangalie yeye vizuri
 
Hakuna mkamlf kwa hii dunia,kat y hao xba angalia ambye unaweza kuendana naye! na pia kma utaweza mrkebshe then mtaish!
 
Imeandikwa mke mwema hutoka kwa Mungu. Ushauri wangu sali uombe Mungu akupatie mke mwema au utumie akili yako uchague.
 
Back
Top Bottom