Mke mwema nani amjuaye?

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,556
21,489
Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli

1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume.
8. Chanzo cha baraka ya familia.
9. Adui wa maadui wa familia.
10. Sauti ya familia.
11. Mponyaji wa familia yake na taifa.
12. Mlezi wa huduma.
13. Mkombozi wa familia na taifa.
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye.
15. Mwombezi wa familia, huduma na taifa.
16. Mficha siri wa Mungu
 
Alaaah. Kumbe! Ngoja niwaangalie hawa wa hapa mtaani kama wapo hivyo!
 
Je hapa Tz wapo asilimia ngapi kama hao?

Kwa maoni yangu ni wachache sana kiasi siwezi ku assort percentage kabisa
 
Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli

1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume.
8. Chanzo cha baraka ya familia.
9. Adui wa maadui wa familia.
10. Sauti ya familia.
11. Mponyaji wa familia yake na taifa.
12. Mlezi wa huduma.
13. Mkombozi wa familia na taifa.
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye.
15. Mwombezi wa familia, huduma na taifa.
16. Mficha siri wa Mungu
Hakika..
 
Wanawake wa Sasa wamevururgwa Kama tulivovurugwa sie wanaume.

Mapenzi ya hao mke mwema yamekua nadra sana kuyapata.

Si mjini tu hata kijijni pia.mambo yanabadilika.

My take.
Ukipata mwenye japo nusu ya hizo sifa oa mapema.
 
Back
Top Bottom