Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa nchini umri wangu ni miaka 28.Natafuta mchumba wa kuoa umri kuanzia 23-28,ambaye tutafahamiana na baadaye kuishi pamoja.Asiwe na mtoto,awe hajawahi kuolewa,awe mkristo,umbo la kawaida,rangi yoyote,mrefu wastani,sitaki mlevi wala muongo kwani wasanii wamejaa humu ndani nataka kuwasiliana na mtu aliye tayari kuanza maisha.Aliye tayari tuwasiliane kupitia(mshanaemanuel@yahoo.com).Niko serious sitaki mchezo tafadhali.