Mke/Mume wa mtu mtamu....

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
Wasalaam wana MMU,

Ukiwa wewe ni mtu mwenye ndoa yako unayoipenda na kuiheshimu,upo katika pilika zako za kuitafutia ugali familia yako uipendayo,na jioni ikawa imefika upo mahali umepumzika,unasikia mwanaume anasifia kwa umahiri usiomithilika kuwa, jamani mke wa mtu mtamu.

Potelea mbali mume wa mtu mtamu, sauti nyingine tokea upande wa kushoto wa meza uliyokaa.

Sasa embu tujadili,hii kauli ya chamtu kitamu ina abudiwa sana nikwanini hawa wanafikia hii hatua? Yale ya temeke yamekuwa hayana nguvu maana wanasema walinasiana kutokana na utamu kuzidi,ndo maana haikutoka.

Je nikweli hii kauli inapaswa kuabudiwa?
 
Mpaka leo sielewi ni kwa nini yale mambo mabaya yaliyokatazwa na vitabu vya imani au jamii au serikali ndiyo mpaka leo watu wanayatukuza! Mambo kama kutoka na mke/mume wa mtu, ufisadi, rushwa, madawa ya kulevya nk ni mambo yanayopigiwa kelele kila siku lakini cha ajabu bado baadhi ya watu wanayasifu ...

Wengi husahau kuwa mke/mume wa mtu ni sumu hatari sana. Kitu chochote hakina thamani sana kama hauko nacho na hubeba thamani baada ya kukipoteza. Wengi wenye tabia hizi wanasahau kuwa wake zao ni bora zaidi kuliko hao wa marafiki zao na kujikuta wakiwafurahia wa wenzao badala ya wakwao.

Watambue kuwa hii si tabia nzuri kiimani, kimaadili na ndani ya jamii. Kila mtu na ajitahidi kumpenda, kumjali, kumtunza na kumfurahia wa kwake na siyo kudandia wa wengine ni jambo baya.
 
Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.
 
Wasalaam wana MMU,

Ukiwa wewe ni mtu mwenye ndoa yako unayoipenda na kuiheshimu,upo katika pilika zako za kuitafutia ugali familia yako uipendayo,na jioni ikawa imefika upo mahali umepumzika,unasikia mwanaume anasifia kwa umahiri usiomithilika kuwa, jamani mke wa mtu mtamu.

Potelea mbali mume wa mtu mtamu, sauti nyingine tokea upande wa kushoto wa meza uliyokaa.

Sasa embu tujadili,hii kauli ya chamtu kitamu ina abudiwa sana nikwanini hawa wanafikia hii hatua? Yale ya temeke yamekuwa hayana nguvu maana wanasema walinasiana kutokana na utamu kuzidi,ndo maana haikutoka.

Je nikweli hii kauli inapaswa kuabudiwa?
Mkuu naona unapotoshwa na hiyo maneno. Cha mtu mnato na sio kitamu. kama huamini jaribu
halahala mkuu angalia usije tena hapa jf kuomba ushauri
 
Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.

Hahahaaa... Napata picha hayo madonda uliyonayo mwili mzima..
 
Hahahaa... Yaani unanichekesha sana..!!

Sasa mwenzetu utadundwa mpaka lini jamani? Si mwisho watakuua binti wewe..!!

Uzuri wake ni kwamba wao wenyewe ndo hunipeleka hosptal.
Sasa wa peke yetu hatuwapati.
Tafanyaje jamani?
Heri tubanane.
 
Hilo nalo neno bibie..! Na hao wa peke yetu hawapo haswaaaaaa..!

Ila mie naogopa kuharibiwa hii sura maana ndio inaniweka mjini Lol..!
 
Kazi ipo kati ya:
IBILISI WA MAPENZI VS IBILISI WA FEDHA.
Kila msimu kuna TROPHY wanashindania, ndo maana hawalali, wanajifua kwa nguvu na wanafanya usajili wa nguvu kwa kila msimu. Mechi zao si kama Real madrid vs barcelona ni zaidi ya hapo, si kama yanga vs simba ni zaidi ya hapo. Ila fainali yao sijui ni lini naona kama msimu wao hauna mwisho vile!!!!
Hio derby yao ndio inayotusumbua sisi binadamu.
Si unajua sisi ndio pitch at the same time sisi ndio kipa, beki, winga, striker na hata kuwa kocha.
This is the untold fact!!!!
 
Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.

Hayo madonda ya kupigwa yatapona,Jiandae kupata madonda ya ukimwi ambayo utavalishwa nayo sanda!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom