Mke/mume uliyenaye ndiye wa ndoto zako?

Haya mwali wangu, nakuja PM tuanzishe hadithi yetu ya mahaba.

Nakwambia wanaokunanga huolewi waambie mwisho wa mwaka huu.
Kukumbatia mto mwisho mwaka huu mwali wangu.
Khaa, haya na wewe wale wote wanaokuonaga mseja waambie kabisa mwisho leo.😬😬
 
Hebu sema ukweli wa moyoni mwako. Hayo mahusiano ulionayo ndiyo ulikuwa ukitamani kuwa nayo ama unasogeza siku?

Juzi kati tulikuwa watu watatu. Wanaume wawili na mwanamke mmoja. Baada ya kuongea sana mwisho wa siku tukaja kuulizana swali hili.

Ikaja kugundulika kuwa wote hatujapata watu sahihi wa ndoto zetu.

Swali kwako.

Je, umebahatika kumpata wa ndoto yako ama unasubiri subiri...
Kwa wanawake wengi wa Sasa wa ndoto zao huwa hawana mpunga kwa hiyo wanaolewa ili Maisha yaende. Na wakizidiwa huwa wanarudi kwa wandoyo zao kama michepuko. Ndio maana Sasa hivi wake za watu wengi ni michepuko ya waume za watu.
 
Mawazo yako ni mawazo yangu, nilichokipata kimekuwa zaidi hata ya kile cha ndoto yangu, namshukuru Mungu sana alichonipatia pia tulipotoka na tulipo sasa ana mchango mkubwa sanaaaaaaa kimwili, kiuchumi na kiakili.
Ahasante sana!
 
Back
Top Bottom