Mke mtarajiwa hana hisia ukeni, nini tatizo?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,283
9,430
Wakuu,

Kwa zaidi ya miezi sita rafiki yangu wa karibu amekuwa akinieleza juu ya uhusiano wake na binti/dada mmoja mwenye umri ya miaka 27.

Sifa za dada.
Mrefu, maji ya kunde, mchangamfu, wowo kiasi fualani, mcha Mungu tangu utotoni, mpenda watu hasa watoto.

Kwa sifa hizo hapo juu zilimfanya rafiki yangu wa miaka 30 kumchumbia huyu dada mnamo March 2016 na kumvisha pete ya uchumba baada ya kujuana zaidi ya mwaka mmoja.

Baada tu ya kumvisha pete ya uchumba basi dada huyu na rafiki yangu wakafikia hatua nzuri ya mahusiano kiasi cha kuanza kugegedana na kuelezana ukweli wa kila kitu na kuwa wazi zaidi kwa kila mmoja.Katika kuelezana ukweli wao kuna kitu rafiki yangu kinamfanya awaze sana kila kukicha.

Hapa nanukuu maneno ya rafiki yangu.
" Nimekuwa nikukutana na mke wangu mtarajiwa mara kadhaa, lakini kila nikikutana nae ananambia sijawahi kumfikisha kileleni na huwa hafurahii penzi hata kidogo. baada ya kuumdadisi sana akanambia hana hisia ukeni hata kidogo, hata mimi nikifika huwa ajui lamba aone mapigo yangu yanapoongezeka. Nimejiuliza lambda hana nguvu za kike. Sijui nifanyeje?."

Hayo ndio maneno ya rafiki yangu. Msaada wenu wandugu tunusu haya mahusiano yawe mazuri.
 
dah....sasa yeye alichumbiaje bila kugegeda kwanza?
anyways yote maisha mie naona jamaa wala hasiangaike kwenda kwengine huyo mwanamke yeye aendelee nae na wakaone dokta wa wanawake.
 
Duuuhh kazi kweli kweli.

Ni jambo jema kwa kuwa Mchumba kajieleza kinagaubaga. Masuala mengine yanahitaji ushauri wa kitaalamu zaidi.
1. Wamuone daktari bingwa wa masuala ya saikolojia
2. Wamuone daktari bingwa wa masuala ya wanawake.
 
  • Thanks
Reactions: EHK
dah....sasa yeye alichumbiaje bila kugegeda kwanza?
anyways yote maisha mie naona jamaa wala hasiangaike kwenda kwengine huyo mwanamke yeye aendelee nae na wakaone dokta wa wanawake.
jamani loohh!!
 
Aaaah mm nashauri jamaa aachane na demu kama hatumii tigo maana atapata matatizo huko mbele
 
Wakuu kwa zaidi ya miezi sita rafiki yangu wa karbu amekuwa akinieleza juu ya uhusianp wake na binti/dada mmoja mwenye umri ya miaka 27.

Sifa za dada.
Mrefu, Maji ya kunde, Mchangamfu, wowo kiasi fualani, mcha mungu tangu utotoni, mpenda watu hasa watoto.

Kwa sifa hizo hapo juu zilimfanya rafiki yangu wa miaka 30 kumchumbia huyu dada mnamo March 2016 na kumvisha pete ya uchumba baada ya kujuana zaidi ya mwaka mmoja.

Baada tu ya kumvisha pete ya uchumba basi Dada huyu na rafiki yangu wakafikia hatua nzuri ya mahusiano kiasi cha kuanza kugegedana na kuelezana ukweli wa kila kitu na kuwa wazi zaidi kwa kila mmoja.

Katika kuelezana ukweli wao kuna kitu rafiki yangu kinamfanya awaze sana kila kukicha.

Hapa nanukuu maneno ya rafiki yangu.
" Nimekuwa nikukutana na mke wangu mtarajiwa mara kadhaa, lakini kila nikikutana nae ananambia sijawahi kumfikisha kileleni na huwa hafurahii penzi hata kidogo. baada ya kuumdadisi sana akanambia hana hisia ukeni hata kidogo, hata mimi nikifika huwa ajui lamba aone mapigo yangu yanapoongezeka. Nimejiuliza lambda hana nguvu za kike. Sijui nifanyeje?."

Hayo ndio maneno ya rafiki yangu. Msaada wenu wandugu tunusu haya mahusiano yawe mazuri.

Before are my comments:

- kwanza dada anayemwambia Huyo jamaa Ni dada mzuri sana, huwa hawasagi.
- mwambie amuulize vizuri sana Ni nini anapenda kufanyiwa.
- mwambie aache ubinafsi.
 
Ha

Amemhakikishia hana tabia mbaya. Je kuna dawa ya kumuongezea genye huyu dada? maana huwa naona waganga wa nguvu za kiume tu.
 
Wakuu kwa zaidi ya miezi sita rafiki yangu wa karbu amekuwa akinieleza juu ya uhusianp wake na binti/dada mmoja mwenye umri ya miaka 27.

Sifa za dada.
Mrefu, Maji ya kunde, Mchangamfu, wowo kiasi fualani, mcha mungu tangu utotoni, mpenda watu hasa watoto.

Kwa sifa hizo hapo juu zilimfanya rafiki yangu wa miaka 30 kumchumbia huyu dada mnamo March 2016 na kumvisha pete ya uchumba baada ya kujuana zaidi ya mwaka mmoja.

Baada tu ya kumvisha pete ya uchumba basi Dada huyu na rafiki yangu wakafikia hatua nzuri ya mahusiano kiasi cha kuanza kugegedana na kuelezana ukweli wa kila kitu na kuwa wazi zaidi kwa kila mmoja.

Katika kuelezana ukweli wao kuna kitu rafiki yangu kinamfanya awaze sana kila kukicha.

Hapa nanukuu maneno ya rafiki yangu.
" Nimekuwa nikukutana na mke wangu mtarajiwa mara kadhaa, lakini kila nikikutana nae ananambia sijawahi kumfikisha kileleni na huwa hafurahii penzi hata kidogo. baada ya kuumdadisi sana akanambia hana hisia ukeni hata kidogo, hata mimi nikifika huwa ajui lamba aone mapigo yangu yanapoongezeka. Nimejiuliza lambda hana nguvu za kike. Sijui nifanyeje?."
ashawai kuugua U.T.I sugu????? kama alishawai inaweza kua mojawapo wa sababu coz nishawasikia wakina dada wengi wanaosumbuliwa na uo ugonjwa wakilalamika kusu tatizo kama ilo unalosema
Hayo ndio maneno ya rafiki yangu. Msaada wenu wandugu tunusu haya mahusiano yawe mazuri.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom