Mke/Mme ulimpata katika mazingira yapi?

Tulikutana bar anakunywa balimi mi nimeshikilia k vant kubwa,sitaki kuongea ndoa yetu ipoje saiv ila mtakuw mmeelewa namanisha nini.
emoji1.png
emoji1.png
🤣🤣🤣
 
Tulikutana stand fulani ya jiji fulani. Yeye anaenda sehemu fulani nami nilienda kupokea parcel. Nilivutiwa naye sana. Nikamsalimia akakubali. Hapo alikuwa amekaa kwenye vibanda vya abiria wanaosubiri nami ilibidi nikae kupata habari zake kwa ufupi finally tukapeana namba na haikuzidi miezi 6 tukawa tumefunga ndoa.
 
Back
Top Bottom