ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,970
- 2,184
Wakuu
Nimepata kuona na kusikia majina ya hawa wake wa viongozi wetu wakiachana na majina yao ya awali kutoka kwa wazazi wao na kujivika majina ya waume wao
Kwa mfano, Salma Kikwete, Linah Mwakyembe, Anna Mkapa, Janeth sijui nani huko
Hii inakuaje mwanamke kubadili jina na kuacha lile la wazazi wake, inamaana ndio anakuwa ameachana na familia yake moja kwa moja?
Vipi mabadiliko haya hufanywa pia katika vyeti na nyaraka zao mbali mbali au
Vp kwa mtu wa kawaida kama mimi nikimbadili mke wangu surname yake iwe yangu italeta impact na picha gani kwa jamii?
Je kwa wale wanaharakati wanaofight against partriach System huliona vipi suala hili
Kwa upande wa wanawake hujisikia hali gani pale mnapoachana na majina yenu mliyoyazoea tangu shule na mkakua nayo then mnakuja kuyaacha kirahisi tu kwa kuolewa unamsahau baba yako?
""mSoon naona, mkeo wangu jiandae kutumia jina langu mpaka huko kazini kwako"