MKE kutoa RUSHWA YA NGONO KWA DOCTOR ILI KUMUOKOA MUMEWE

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Hapa tujadili..... jamaa kamuaga mkewe kuwa anakwenda Mbeya kikazi, kumbe yuko hapa hapa anajirusha kwa kula bata tena na mke wa mtu na akafumaniwa kupewa kipigo cha mbwa mwizi na kudhaniwa kuwa ameshaaga dunia, akapelekwa chumba cha kuhifadhia maiti, kumbe hakufa..... mkewe katika hali ya kumnusuru mumewe apate matibabu, akakubali kutembea na dokta kisha kupewa mimba..... .hivi inaleta maana kwa huyu mwanamke? .... nimesikiliza wimbo wa Bahati Bukuku unaoitwa dunia haina huruma........ kipi bora mkeo atoe penzi kwa Dokta au akuache ufe?
 
Akuache ufe!.......manake umepata matatizo ya kujitakia
 
Yeye Bwana katenda dhambi na mkewe anaamua kutenda dhambi inakuwaje? Imeandikwa "Kwa maana kuishi kwangu mimi ni kristo na kufa ni faida"Wafilipi 1:21
 
Wanaume hamna shukrani ni bora akuache ufie mbali...... Lakini kwa sbb wewe ni mzazi mwenzie na kwa maslai ya watoto bora akubali kumpa dokta aokoe maisha yako.
 
Hivi utajisikiaje baada ya huyo mumeo kupona akakuleta ukimwi tokana na kula mibata yake michafu hiyo?
 
Sijaelewa vizuri!Hiyo rushwa ilikuwa niya kufidia gharama za matibabu au chajuu kwa daktari?Maana hawa jamaa zetu japokuwa wanagomea maslahi kiduchu lakini wengi si waadirifu katika utendajikazi wao!
 
doesn't make any sense anyhow hata ukiusikiza huo wimbo umejaa mambo ya kubuni tu!!
 
Dah... siku niliyosikia huu wimbo kwa mara ya kwanza nilitamani sana kuleta huu mjadala hapa. Niliishia tu kubishana na Wife maana...kweli dunia haina huruma lakini mtihani mgumu sana. kuna mtu alienda kuomba kazi akaombwa rushwa ya ngono na HR Manager. Alichokifanya yule dada akenda kushtaki kwa CEO wa ile kampuni. Boss alimuuliza yule Dada "How manya times have you offered sex for pleasure, lao unpata kazi kwanini usitoe tu". Piga hesabu sasa, huyo Dada aliyetoa rushwa ya ngono hakuwa na kosa lolote na ndio maana mwishoni anamlizia kwa kuomba msamaha kwa mumewe baada ya kupata ushauri wa Baba mwenye busara aliyesema yeye asiye na dhambi na aanze kumkata yule mtoto "haramu"
 
kumbe wewe dume mwenzetu iweje ujiwekee avatar ya kike?

  • Thanks
Reactions: SG8
Wanaume hamna shukrani ni bora akuache ufie mbali...... Lakini kwa sbb wewe ni mzazi mwenzie na kwa maslai ya watoto bora akubali kumpa dokta aokoe maisha yako.

unaniogopesha sana ... tendo la kumpa dokta haraka haraka kwa kisingizio cha kuokoa maisha ya mume ni kisingizio ... hapa kuna walakini mke huyo anaonekana kwake ni mazoea.... jiulize kweli alikosa mbinu nyingine hata za kumhamisha mgonjwa kwenda katika hospital nyingine? mpaka akubali kuvua....
 
Hapana ni heri nimpe rushwa daktari ili mume wangu mpendwa apone.

Back
Top Bottom