Mke kupigwa na kuhongwa na mume

TabletFellow

JF-Expert Member
May 17, 2011
918
272
Wakuu, hii kitu imenitatiza kidogo

Jirani yangu hapa huwa anakula mkong'oto wa nguvu sana toka kwa mumewe hadi anakwenda hospitali, lakini jamaa huwa anakuja na kuyamaliza kwa kuhonga cash kwa huyu dada

Katika hili ni nini nafasi ya pesa?? na je kwa mtindo huu, itashangaza huyu bibi akiwa mama muuza?
 
Na wewe hodari,umejuaje wanayamaliza kwa style hiyo?
Siku hizi kuta za nyumba ni transparent sana,kila kinachotokea ndani kinadakwa live na walio nje.
 
hajampiga vizuri huyo atakuwa anampapasaga tu angempiga vizuri japo amtoboe jicho tu.tuone kama ataona hela tamu
 
We unashangaa mke kuhongwa Pesa wakati kuna wanawake wanachezea vichapo hadi wanalazwa karibu everyday na still bado hawasemi wala kuondoka.
 
Huyo hajapigwa hivi unadhani akipigwa hadi kipigo kimuingie unadhani atakumbuka hela yake!thubutuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom