Mke kumshonea mume wake mashati ya vitenge

Ndondoo

Member
Nov 24, 2019
28
45
Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?

Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!

Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
53,557
2,000
Huu utamaduni tumeuiga Afrika Magharibi na kwakweli unapendeza. Ni ubunifu tu na ku show love


1581846605814.jpeg


1581846709193.jpeg
 

Drizzle

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
4,867
2,000
Niuamuzi wa mtu binafsi, nikiwa na umri wa miaka 13 nilikataa kuvaa nguo za kushonshwa , itakuwaje kwa sasa mke mke ashoneshe nguo tena kitenge

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninajiuliza kama huvai nguo za kushona unavaa nguo zilizofanyaje. Kwa uelewa wangu mdogo nguo zote zinashonwa ila materials ndio tofauti. Ndio maana mleta mada akawa specific kwa kutaja vitenge. Labda unifafanulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom