Fafanua mkuuMbususu ishafanya yake
Kiaje ajeDoooh ndo tushakukosa tena.
Yaani usharogwa wewe
Mbona siwaelewiMnunulie ungo mpya kwake itakua furaha kama tulivyopata bombardier.
100%Povu la kufulia kudekia anasave maji na sabuni ya kudekia
Tango na mkaa uvunguni anafukuza wachawi usiku
DuhKuhusu maji machafu kudekia Kama mtaani kwenu Kuna shida ya maji basi anabana matumizi ya maji.
Kuhusu tango kuwekwa kwenye sufuria na maji plus chumvi kibaolojia anafanya tango lisiharibike haraka ila kwenye mkaa hapo itakua poteza maboya ...
Ila kwenye tango tuwaulize vizuri wauza matangoView attachment 1779911
Mbona siwaelewi