Mke kudeki uvungu kwa povu la kufulia na kuweka sufuria uvunguni ni sawa?

Povu la kufulia kudekia anasave maji na sabuni ya kudekia
Huu ni uchafu, PERIOD
Tango na mkaa uvunguni anafukuza wachawi usiku
Usikute akishamgusagusa na kupata kamoja kabla ya kugeukia kitandani na mkoromo juu, kinachofuata ni wife kufanya self-service , mkono na tango kujisevia!! We si unaona hadi sufuria imeanza kubabuka?!

We angalia huo mbabuko wa sufuria kisha jiulize unafanana na mbabuko wa nini...
 
Ngoja tumuite Mshana Jr aje atusaidie...
Nilidhani nitasalimika hapa! Ok anyway iko hivi
Maji ya kufulia, kudekia ni kubana tu matumizi lakini hayo mengine ni kinga dhidi ya nguvu hasi..! Labda kinachotatiza wengi hapo ni hilo tango
Tango hapo lipo kwa maana moja tuu..LIBIDO! Huyu mwekaji kashauriwa hivyo na fundi baada ya kuona shughuli ya mzee kitandani inasinzia... Hapo tango limenenewa kama uume na hiyo chumvi kama chaji na huo mkaa kama kinga...

Alipopatia
Kudeki ili chombo kikae sehemu safi
Kuweka chombo chini ya uvungu most likely kaweka katikati kwenye central axis ya majamboz

Alipokosea
Kutumia maji machafu yenye povu..katakasa nguo, uchafu karudisha ndani.. Hapa alipaswa kutumia maji safi! Labda iwe kwa masharti ya mganga
Kutumia sufuria badala ya chungu ama gae la chungu.. Angekosa kabisa angetumia chombo cha plastic

Matumizi sahihi ni yapi?
Maji ya mto yasiyotuama
Tango pori
Chumvi ya mabonge
Mkaa wa miti ya asili si ya kupandwa
Chungu ama gae lake
Kitanda cha kamba ama godoro la sufi au jamvi la mkono
Ardhi isiyo na sakafu walau pale pa kuwekwa chungu

Kwa kutumia kila kitu cha asili kisicho najisiwa na kemikali yoyote basi nguvu tarajiwa hufanya kazi kwa asilimia 100..!

Asante kwa kunialika!
 
Ahsante ' mtaalam' wetu.
 
Eboo mbona kama sielew sielew kumbe watu wanalogwa kimasihara namna hii?
 
Back
Top Bottom