Mke au mume kutoridhishwa kimapenzi nani wa kulaumiwa?

Bibigula

Senior Member
Jul 15, 2012
141
27
Wana JF,

Kawaida katika mahusiano kila kitu kinaweza kuwa vizuri katika kila eneo lakini ikakwamba katika upande wa mapenzi upande wa kuridhishana kunako 6 kwa 6. Kwa kutumia uzoefu wenu, naomba tujadiliane kuwa mara nyingi huwa ni kosa la nani? Mwanamke ama mwanaume? Na kama kuna tatizo hilo nini maoni yako ya namna ya kuboresha mahusiano hayo ili kuweza kwua sawa kwa wapenzi husika?

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom