Mke atambulishwa housegirl mke mwenzie. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke atambulishwa housegirl mke mwenzie.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DEVINE, Mar 15, 2011.

 1. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama wa watoto 3 mitaa ya kimara Dar-es-salaam akosa la kufanya jana jioni,baada ya kupewa taarifa na mumewe yakuwa anatarajia kuoa mke wa pili.Jambo la mke wa pili halikumshitua sana mama huyo ila mke huyo wa pili ndiye aliye mshitua kwani alikuwa beki tatu wake.Kwa maelezo ya mumewe alitokea kumpenda bekitatu huyo kutokana na huduma anazompatia ambozo aliamrishwa na mkewe. Mke mkubwa alijikuta amepandisha hasira na kutaka kumchoma kisu bekitatu huyo baada ya kusikia tiyari mumewe kashatembea naye na huku nyuma mama yule anaijua hali ya bekitatu wake yakua ameathirika na VVU..Balaa ilioje mumewe hakuamini lkn alijikuta akisema tuongozane Loliondo.
   
 2. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kitu cha studio hiki! hahahahaha
   
 3. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  inawezekana ee. hebu ngoja great thinkers waone kama producer anaujuzi au la
   
Loading...