Mjadala kuhusu Mke asiye wa Ndoa na Mtoto wa nje ya Ndoa kwenye urithi

Tuambie sheria ulioitumia na kifungu gani ? Je ! ni sheria ya mtoto? Je! ni affiliation act? je! ni declaration of local customary law? je ! ni sheria ya ndoa?
Sheria ni vifungu mkuu sio mtu analeta maneno mengi bila kifungu cha sheria ni sawa NA mtu kuja pekupeku jukwaani
 
Tuambie sheria ulioitumia na kifungu gani ? Je ! ni sheria ya mtoto? Je! ni affiliation act? je! ni declaration of local customary law? je ! ni sheria ya ndoa?

SURA YA 352
SHERIA YA UTHIBITISHO WA WOSIA NA USIMAMIZI WA MIRATHI

14. JE WATOTO WA NJE YA NDOA WANARITHI?

Mahakama ya Rufaa katika kesi namaba 72 katika ripoti ya sheria ya mwaka 1990 kati ya VIOLET ISHENGOMA dhidi ya KABIDHI WASII MKUU NA MWENZAKE imetoa tafsiri ya mtoto katika sheria ya ndoa kwamba haihusishi mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hivyo,watoto hao hawatambuliwi chini ya sheria ya ndoa kama watoto.
Watoto walizaliwa nje ya ndoa hawaruhusiwi kurithi,wanaweza kurithi tu kama wamehalalishwa kwa kufuata desturi au taratibu zinazojulikana na kutambulika katika jamii hiyo.
Vilevile inashauriwa kwamba ni muhimu kuandika wosia ambao katika kugawa mali utamjumuisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa.Hii itasaidia kuondoamateso yanayowapata watoto walizaliwa nje ya ndoa.
 
Mbona maelezo yako yanajikanganya? kesi ulioirejea haikumtambua mtoto wa nje ya ndoa. Sasa hiyo sura 352 ni kifungu gani na weweza kukiweka hapa tukifafanue? ninachojua mimi ili mtoto wa nje ya ndoa atambulike lazima taratibu za kumu adopt zifanyike.
 
Shit happens,it's the way of life.Wanadamu hatutosheki, angali mabilionea kama Bill Gates na Warren Buffet wana hela za kuwalisha hadi kufa ila bado they make more na hawaziachi zinazokuja.
Mfano wako hatà hauendani na ulicho ulizwa
 
Mbona maelezo yako yanajikanganya? kesi ulioirejea haikumtambua mtoto wa nje ya ndoa. Sasa hiyo sura 352 ni kifungu gani na weweza kukiweka hapa tukifafanue? ninachojua mimi ili mtoto wa nje ya ndoa atambulike lazima taratibu za kumu adopt zifanyike.

Kujua zaidi soma hapa

http://www.humanrights.or.tz/downloads/F1 MIRATHI Book.pdf

Mgawanyo wa Mali ya Marehemu, vifungu vidogo vitakupa majibu yako.

  • Sheria ya Urithi ya India ya 1865
  • Sheria ya Kiislamu
  • Sheria ya Kimila
 
Mfano wako hatà hauendani na ulicho ulizwa

Nina wasi wasi na uwezo wako wa kuelewa, nimetumia mfano wa binamu kutokutosheka na walicho nacho.

Kwa nini watu wazae nje ya ndoa?
one of my reasons ni tamaa.(kutokutosheka)
 
Ninaongea kwa msimamo wa dini ya Kiislamu, kwa upande huu mtoto wa nje ya ndoa hawezi kurithi. Na hakubaliki kwa familia hata kama atatambulishwa.
 
SURA YA 352
SHERIA YA UTHIBITISHO WA WOSIA NA USIMAMIZI WA MIRATHI

14. JE WATOTO WA NJE YA NDOA WANARITHI?

Mahakama ya Rufaa katika kesi namaba 72 katika ripoti ya sheria ya mwaka 1990 kati ya VIOLET ISHENGOMA dhidi ya KABIDHI WASII MKUU NA MWENZAKE imetoa tafsiri ya mtoto katika sheria ya ndoa kwamba haihusishi mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hivyo,watoto hao hawatambuliwi chini ya sheria ya ndoa kama watoto.
Watoto walizaliwa nje ya ndoa hawaruhusiwi kurithi,wanaweza kurithi tu kama wamehalalishwa kwa kufuata desturi au taratibu zinazojulikana na kutambulika katika jamii hiyo.
Vilevile inashauriwa kwamba ni muhimu kuandika wosia ambao katika kugawa mali utamjumuisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa.Hii itasaidia kuondoamateso yanayowapata watoto walizaliwa nje ya ndoa.
vipi km mke atanikuta na watoto naishi nao.na nlipomua akawa anawatunza km mama yao.na ikafika mahala tukahitilafiana na sasa anataka mali ziuzwe je mtoto alomkuta haki yake ni ipi
 
Nina wasi wasi na uwezo wako wa kuelewa, nimetumia mfano wa binamu kutokutosheka na walicho nacho.

Kwa nini watu wazae nje ya ndoa?
one of my reasons ni tamaa.(kutokutosheka)
naungana na mdau kuwa yamkini haufikiri kwa uwezo sahihi.
Wapo watoto wa nje ya ndoa ambao mtu aliwapata kabla ya kufunga ndoa ama aliachana na mwanamke au mwanaume na akaishi na watoto tu. Sasa ikatokea akaamua kuoa ama kuolewa tena na kufunga ndio, watoto hao ni wa nje ya ndoa na je sheria inawachukuliaje.
 
Mtoto wa nje ya ndoa sheria inamtambua kama mrithi wa mali ya baba yake endapo baba atamtambulisha kwa mke mkubwa na atatoa faini ya mtoto huyo na kukabidhiwa mtoto huyo na kuishi nae nyumbani.

Hivyo katika mgawo wa mali lazima atapewa sehemu ya mali ya baba yake kama mtoto halali.
jaribu kupitia sheria hii " The Law of the Child Act, 2009" itapendeza zaidi kama utachimba zaidi kwenye vifungu hivi....S. 4 mpaka S. 10
 
Sh
Ninaongea kwa msimamo wa dini ya Kiislamu, kwa upande huu mtoto wa nje ya ndoa hawezi kurithi. Na hakubaliki kwa familia hata kama atatambulishwa.
Sheria za kiarabu zipo kinyume na Katiba, zipo kinyume na haki za mwanadamu. Hivyo ukileta upimbi kwenye kutoa haki kwa mtoto kisa DINI YA WAARABU utaadhirika mkuu nenda soma sheria iliyotungwa na Bunge juu ya sheria za kumlinda mtoto. nenda soma S.5(2) S.9 & S. 10 of the Law of the Child Act, 2009
 
Mtoto wa nje ya ndoa sheria inamtambua kama mrithi wa mali ya baba yake endapo baba atamtambulisha kwa mke mkubwa na atatoa faini ya mtoto huyo na kukabidhiwa mtoto huyo na kuishi nae nyumbani.

Hivyo katika mgawo wa mali lazima atapewa sehemu ya mali ya baba yake kama mtoto halali.
mtoto wa nje ya ndoa, si mtoto halali kisheria, ila anaweza kuwa mtoto halali hadi pale atakapokuwa amehalalishwa. kuhalalishwa kwa mtoto wa kambo kuna njia nyingi, kila kabila lina desturi zake, cha muhimu ahalalishwe kwa minajiri ya kabila na desturi zinazokubalika na watu wa aina yake na anakuwa mtoto halali kabisa kuweza kurithi mali ya baba yake hata kama hakai na baba yake. sio lazima akae na baba yake, cha msingi ni kuhalalishwa.

kuna desturi zingine, kama ya kabila langu, kuhalalisha mtoto ni kwenda kwa wazazi wa mama wa mtoto, kulipa fungu utakalotajiwa na hao wazee na unakuwa umemkomboa mtoto huyo. pia kama umeoa mambo haya yatatakiwa kuwa wazi na mkeo na ndugu zako wajue ili kumkaribisha ndugu mpya kwenye ukoo halali. hata hivyo, kuhalalishwa huku ni kwa wakristo na wapagani tu, katika uislam mtoto wa kambo si mtoto halali, hata ukimkomboa hataweza kurithi mali ya baba yake (ila anaweza kurithi mali ya mama kwani anatambulika kama mtoto wa mama yake tu na si mtoto wa baba), hata hivyo hata kama si mtoto halali (ni mtoto haram) anaweza kurithi mali ya baba yake muislam kama mtu baki tu akiwa amewekwa kwenye wosia wa ile 1/3, na atawekwa kwenye wosia kama mtu baki na si mtoto halali. ile 2/3 inayobaki itagawanywa kwa minajiri ya quran na yeye hatapata kitu kule kabisa kwasababu hatambuliki.

hii ni kwasababu, sharia ya kiislam inaruhusu mtu baki asiye mrithi kupewa mali kwenye wosia na mwosia hatakiwi kuzidi 1/3. zaidi ya hapo, kwa waislam, mtoto huyo au mtu yeyote ambaye si muislam hawezi kurithi mali ya muislam, hata kama una mtoto wa kambo unataka kumpa mali kwenye wosia (kama mtu baki tu kwani hatambuliki kama ni mtoto halali), utampa tu yule aliye muislam, mtu asiye muislam hawezi kurithi mali ya muislam. bofya hapa www.sheriakwakiswahili.blogspot.com
 
Blablaaaaaa blaaaa nyingi sana, umesoma sheria ya ndoa ya 1971 na Sheria ya Mtoto (The Law of the Child Act)?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom