Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,033
- 173,715
Mkuu huu ni ukweli ulio dhahiri kabisa...Wanaume tunafeli sana siku hizi kwa kutaka kusplit utafutaji mkate.Mke mwenye kujielewa anakua mtii hatakama ndo mwenye kipato kikubwa.
Wanawake wanaotafuta pesa ili washindane na waume zao ndoa si haki yao.
Mwanaume kuoa mfanyakazi ili akusaidie nae ndoa haimstahiki
Ila isitoshe wanawake wengi wanaotafuta kazi siku hizi ama kung'ang'ania kazi mara nyingi motive behind ni defensive mechanism kwamba asitawaliwe na mwanaume in full bali kwa interest zake tu. Hata wenyewe utasikia wanaambiana tafta hela yako shoga angu mwanaume asikubabaishe bwana.
Hii phrase "Asikubabaishe" maana yake ni kwamba awe na option ya kusikiliza orders, afuate anazotaka tu ambazo hataki akuletee kiburi maana ana kazi yake hata mkiachana anaweza kumudu maisha maana ana kazi. Mwanamke wa hivi ni kumpa Ultimatum tu kuwa achague kazi au ndoa na wewe uwe fully responsible kubeba majukumu yote kama baba wa familia.