malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,778
- 2,703
- Thread starter
- #21
Fafanua kidgo ndgu...Aidha wewe au Mkeo mmoja ni tatizo kubwa...
Fafanua kidgo ndgu...Aidha wewe au Mkeo mmoja ni tatizo kubwa...
Mkuu ha ha ahMuache huyo mkeo ntakupa Dada yangu atakufaa zaidi
Kwanin mkuu ubaki na msimamo wakutokuoaasante mkuu kwa kuendelea kuniimarisha katika msimamo wangu wa kutokuoa.
Unaonekana unasikiliza Kila unachoambiwa na mama yako,si umuoe mama yako,huyo mama ako anamuonya mke wako Kwan wewe umekufa???? Sipendi ndoa ya kuendeshwa na wazazi basi tuuuuuu
Ndo hapo nashangaa anajibu matusi..hivi unakataaje kusiliza wazazi wanaokusihisi mambo ya miongozo ya kidini kumjua mungu wakoTumia kichwa kujibu ña syo matako ,wewe Unamtusi mwenzio kwnn
kaka huoni kuna uchawi wa wazi hapo??Kwanin mkuu ubaki na msimamo wakutokuoa
Mh hapana. Watakuwa wanam criticize. Cha kufanya mkanye mama yako aache kunasihi watoto wa wenzie. Yeye si ana wake?? La sivyo hii ndoa utamuona mkeo mkorofiMkuu wala hatupeleki kwa wazazi niwazazi tu wanapokua wanamtembelea mkwe wao Sasa tkt maongezi niushaur tu anapewa Kama ambovo ww wazazi wako wakutembelee kwako kwa dk kadhaa Kisha muongee tu mambo yakimaisha wakunasihi Kama mtoto wao
Sio kumcritise wazazi wangu niwatu wadini nasio mzazi mmoja tu wakike wote wanatunasihi Kama vijana wao tuishi maisha yakumpendeza munguMh hapana. Watakuwa wanam criticize. Cha kufanya mkanye mama yako aache kunasihi watoto wa wenzie. Yeye si ana wake?? La sivyo hii ndoa utamuona mkeo mkorofi
Tusi ni lipi hapo?Tumia kichwa kujibu ña syo matako ,wewe Unamtusi mwenzio kwnn
Mkuu hujanielewa yaan yeye anageuza ushari anauzungumzia kwa ubaya kwa mama yake na mamay yake anaupokea hivo hivo nakuutangaza kwa ndgu zakeWewe ukimwambia mama ako sawa, yeye akimwambia mama ake unaona sio sawa!!
Mambo ya ndani yamalizeni humo humo ndani, acha mara moja huo ujinga!!
Alaf huko kujibu kwa kujiamini alianza baada ya kumuoa au hata kabla alikuwa hivyo alafu ukapuuzia?
Ndio hapo sasa! Kila siku nasaha! Aende msikitini kwenye madarasa ya akina mama atoe nasaha kwa wanaohotaji.Mama mkwe ananishaur nn kila siku??? Ebu akae kwake na mmewe atulie
Ushaur maramoja inatosha na mkeo sio mjinga Kama anashauriwa vizuri hawez kuelewa vibaya shida wamama wakwe wengi wanataka kuendesha familia Kama wanavyotaka wao
Na nyie hamen hapo kaeni mbali na wazazi kinyume Cha hapo kila siku mtakua mnagombana
Hujaelewa tunaishi ktk mji mdogo amboa ktk sehemu kubwa ya mji tunafahamiana so Jambo baya nirahisi kuonekana na kuambiwaMama mkwe ananishaur nn kila siku??? Ebu akae kwake na mmewe atulie
Ushaur maramoja inatosha na mkeo sio mjinga Kama anashauriwa vizuri hawez kuelewa vibaya shida wamama wakwe wengi wanataka kuendesha familia Kama wanavyotaka wao
Na nyie hamen hapo kaeni mbali na wazazi kinyume Cha hapo kila siku mtakua mnagombana