Mke anataka kunikimbia...

Captain Phillip

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
894
536
WanaJF naombeni mnishauri;

Ninaishi na mke wangu kwenye ndoa kwa mwaka wa tatu sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja mwenye miaka miwili kwa sasa.Katika muda wote wa ndoa yetu nilikuwa mikoani na nje ya nchi hivyo sijwahi kuwa na kwe wangu kwa miezi miwili mfululizo na huko nilikokuwa nilikuwa nikitafuta ''mapozeo'' kupunguza hamu ya tendo.

Kwa hivi sasa nimekaa kwa muda mrefu na mke analalamika kuwa niko too demanding kwenye tendo la ndoa kwani katika hali halisi kila siku nafanya na ni minimum of 2 rounds per night.Sasa kwa sasa tuna ugomvi kila siku anadai anachoka na hawezi kuhimili hali hii na mimi naogopa kumsaliti kwa kwenda kutafuta huduma hiyo nje ya ndoa naombeni ushauri.
 
Duh! Hata mimi nilishakimbiwa na mke kwa ajili hiyo hiyo. Join the club!!!
 
WanaJF naombeni mnishauri;
Ninaishi na mke wangu kwenye ndoa kwa mwaka wa tatu sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja mwenye miaka miwili kwa sasa.Katika muda wote wa ndoa yetu nilikuwa mikoani na nje ya nchi hivyo sijwahi kuwa na kwe wangu kwa miezi miwili mfululizo na huko nilikokuwa nilikuwa nikitafuta ''mapozeo'' kupunguza hamu ya tendo.Kwa hivi sasa nimekaa kwa muda mrefu na mke analalamika kuwa niko too demanding kwenye tendo la ndoa kwani katika hali halisi kila siku nafanya na ni minimum of 2 rounds per night.Sasa kwa sasa tuna ugomvi kila siku anadai anachoka na hawezi kuhimili hali hii na mimi naogopa kumsaliti kwa kwenda kutafuta huduma hiyo nje ya ndoa naombeni ushauri.

Mpunguzie kazi zingine za nyumbani kwa kumsaidia , ili mkienda kitandani muwe wote na uchovu sawa.
 
Na wewe umezidi kila siku kwani chakula hicho??? Hata mie ningeanza mbele hiyo kitu ni starehe bwana yanini kuchoshana namna hiyo???
 
mi huwa nashangaa wakati mwingine binadamu tunapenda/kutaka nini wengine wanalilia wapate mti kila siku wengine wanakimbia kaeni muongee umueleze kabisa satisfaction yako mpaka upate kila siku na kama yupo tayari kusaidiwa na vicheche saa zingine lazima tujifunze kuelewa wenzi wetu wanataka nini with time mnakuwa mnakwenda sambamba sio kulalamika na kukimbia huku na kule hakusaidii
 
Chauro kila siku??????????????? Imezidi bwana tafadhali eehhh
 
Kazi mojawapo ya infidelity ni kumsaidia mama watoto asizidiwe na mizigo....karibu ISC!
 
mi huwa nashangaa wakati mwingine binadamu tunapenda/kutaka nini wengine wanalilia wapate mti kila siku wengine wanakimbia kaeni muongee umueleze kabisa satisfaction yako mpaka upate kila siku na kama yupo tayari kusaidiwa na vicheche saa zingine lazima tujifunze kuelewa wenzi wetu wanataka nini with time mnakuwa mnakwenda sambamba sio kulalamika na kukimbia huku na kule hakusaidii

siku zote comments zako huwa zina support sana hii signature yako!big up Chauro
 
huyo bana nae atakuwa na kipozeo tu we unafikiri nae kwa muda wote huo angeweza kuvumilia kweli
 
aah bacha nitabadili signature yangu ili uache kuniqoute kua uyaone unafikiri kukimbia ndo kutatatua matatizo au kutaongeza anakaribisha nyuma ndogo mmlangoni halafu au ulitaka nimwambieje huyu dada mwenzangu

siku zote comments zako huwa zina support sana hii signature yako!big up Chauro
 
hawa watu wako ivo hata ukigawa kama dozi ya malaria utaambiwa huwa huna vionjo kikubwa play your part pale unapoona umeshindwa pambana nacho sio kukimbia kuna wakati nilijaribu kukimbia nakwambia Dena matatizo niliyokuwa nayo yalikuwa mara mbili ya nilichokimbia tatizo simama nalo pigana nalo vyote ni mpito

Wanatafuta Infiii kijanja wewe hujashitukia???
 
hawa watu wako ivo hata ukigawa kama dozi ya malaria utaambiwa huwa huna vionjo kikubwa play your part pale unapoona umeshindwa pambana nacho sio kukimbia kuna wakati nilijaribu kukimbia nakwambia Dena matatizo niliyokuwa nayo yalikuwa mara mbili ya nilichokimbia tatizo simama nalo pigana nalo vyote ni mpito

Mie namnyimilia mbali huko kila siku?? Akkkhhh nakwambia utampa kila saaa acha kila siku na utakuta ana infiiii huko nje!! Kisa cha kujizeesha ni kitu gani aiiii aende zake huko sitoi mzigo kila siku mie kwa wiki mara 2 tuuuu
 
hahaaa Dena umenifurahisha basi mie malaika Gabriel lazima nachezewa shere
 
Mie namnyimilia mbali huko kila siku?? Akkkhhh nakwambia utampa kila saaa acha kila siku na utakuta ana infiiii huko nje!! Kisa cha kujizeesha ni kitu gani aiiii aende zake huko sitoi mzigo kila siku mie kwa wiki mara 2 tuuuu

Una bahati hujaolewa na mimi. Ungenipa hako kakijoleo kako, utake usitake. Si uliapa na ukasaini tena mwenyewe kabisa tena mbele ya watu na Mungu kuwa utanipa bure tena katika shida na raha?
 
Mie namnyimilia mbali huko kila siku?? Akkkhhh nakwambia utampa kila saaa acha kila siku na utakuta ana infiiii huko nje!! Kisa cha kujizeesha ni kitu gani aiiii aende zake huko sitoi mzigo kila siku mie kwa wiki mara 2 tuuuu

watu tupo tofauti kweli....lakini ishu ya kuzeeshsa cdhani kama ina ukweli, nadhani zinapokuwa mseto mseto.........
 
Mmmmh tuko wengi mimi natatizo kama lako but sijaowa ila Girlfriend analalamika nimezidi japokuwa nakutana nae mara nne au tatu kwa week ila nikikutana nae lazima tupige show angalau round tatu, pole mzee atakuzoea tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom