Mke anataka kunikimbia...

Una bahati hujaolewa na mimi. Ungenipa hako kakijoleo kako, utake usitake. Si uliapa na ukasaini tena mwenyewe kabisa tena mbele ya watu na Mungu kuwa utanipa bure tena katika shida na raha?

nadhani mr wake hakumzoesha haya mambo, wengine tumezoeshwa kiac cha kwamba ni ishu ya kawaida mpaka ukickia mtu analalama kama hivi unajua kweli watu tupo tofauti sana, mapumziko ni cku nikiwa heaven au kuna mmoja kasafiri....kwani wengine wanafanya kama kusulubiana?....halafu nimekumic.
 
Una bahati hujaolewa na mimi. Ungenipa hako kakijoleo kako, utake usitake. Si uliapa na ukasaini tena mwenyewe kabisa tena mbele ya watu na Mungu kuwa utanipa bure tena katika shida na raha?

Pole mie siyawezi hayo bwana akkkhh
 
Kila siku kesi tu? Hebu mtu aje atuhadithie neema siku nyengine.
 
Mmmmh tuko wengi mimi natatizo kama lako but sijaowa ila Girlfriend analalamika nimezidi japokuwa nakutana nae mara nne au tatu kwa week ila nikikutana nae lazima tupige show angalau round tatu, pole mzee atakuzoea tuu.

You are the man..................kitumie kikuzoee ala!
 
Mwalimu kukiwa na Neema hakuna utakae muona hapa!! hapa ni kuleta matatizo tu!!

Kuongeza stress levels tu humu JF

manake watu wana hasira siku hizi kuna mpaka wanaodai kofia zao zilizokatwa utotoni! huh!
 
nikiangalia hili jukwaa la MMU napata mawazo ya kuanzisha hospitali ya marazi ya moyo na mishtuko ya ghafla. nazani hii biashara italipa.
 
wengine ahaa kama dozi ukiona ki siku kimepita unauliza leo vipi:whoo:

Hamna kitu; hii kitu haina kuzidi bana; inategemea wote mnaichukuliaje ukiona mwingine anaikimbia ujue hamko level sawa.........hapo ni kuambiana ukweli!
 
hhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaa umeona eeh watu humu si mchezo wengine waugua tayari hatujijui msaada wako ni muhimu sana

nikiangalia hili jukwaa la MMU napata mawazo ya kuanzisha hospitali ya marazi ya moyo na mishtuko ya ghafla. nazani hii biashara italipa.
 
hhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaa umeona eeh watu humu si mchezo wengine waugua tayari hatujijui msaada wako ni muhimu sana

anzeni na aspirin ikiekspaya mtakuja kwa his majesty klorokwini ze one and ze only in east afrika mashariki na kati. kwenye hii mada mpaka sasa sijaelewa, sasa huyu dada anakimbia kile kilichompeleka kwenye ndoa? au alizani anaolewa ili akaangalie muvi za kanumba?
 
sasa huyu dada anakimbia kile kilichompeleka kwenye ndoa? au alizani anaolewa ili akaangalie muvi za kanumba?

Hahahaha @muvi za kanumba
 
Wote tunafanya kazi za maofisini na muda tunaorudi nyumbani ni mmoja so hakuna kazi za ziada anazofanya coz tuna binti wa kazi
 
anzeni na aspirin ikiekspaya mtakuja kwa his majesty klorokwini ze one and ze only in east afrika mashariki na kati. kwenye hii mada mpaka sasa sijaelewa, sasa huyu dada anakimbia kile kilichompeleka kwenye ndoa? au alizani anaolewa ili akaangalie muvi za kanumba?

Ni kweli hicho ndo kimempeleka lakini stamina yake ndogo jamaa inabidi aelewe hilo asimfanyie hivyo. Mbona hivyo lakini???
 
Ni kweli hicho ndo kimempeleka lakini stamina yake ndogo jamaa inabidi aelewe hilo asimfanyie hivyo. Mbona hivyo lakini???
sasa si aongeze bidii ya kula ma nyanya chungu na mandizi basi, wee unazani kazi rahisi kwa mwanaume kuzuia maji ya uzazi wakati jinsia ya upinzani iko pembeni yake tena ni halali yake. nadhani tuwekeni conclusion kwamba mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume rijali aliekamilika. ipo haja ya kuapply akuku dangerism theory
 
mh pole sana mkuu. inawezekama mke wako hafiki na wala hafurahii tendo hilo. chamsingi ni kumwandaa vyema. kumwandaa kunaweza kuanza tangu ukiwa haupo nyumbani kwa kumtumia sms nzuri, mpigie simu, msaidie kazi, cheka nae, cheka na watoto etc. pia usiwe kiongozi wakati wa tendo. yeye anaboreka! mwachie na yeye awe 'steringi'....nakuhakikishia atakua anaomba dudu kila siku! hata hivyo mzee jikaze! usijiwekee akilini kwamba bila kulamba basi hakulaliki. Mama atakua anaogopa hata kukufuata kitandani. acha necha ifanye kazi. hiyo kitu inaliwa kila siku ila wewe unakosea namna ya kuila. mbona watu kibao wanakula daily tena 2-3 times b4 they sleep na hakuna malalamiko?
 
mi huwa nashangaa wakati mwingine binadamu tunapenda/kutaka nini wengine wanalilia wapate mti kila siku wengine wanakimbia kaeni muongee umueleze kabisa satisfaction yako mpaka upate kila siku na kama yupo tayari kusaidiwa na vicheche saa zingine lazima tujifunze kuelewa wenzi wetu wanataka nini with time mnakuwa mnakwenda sambamba sio kulalamika na kukimbia huku na kule hakusaidii

Kwamba kuhusu kuka naye kuongea naye nimefanya sana na yeye anasema kweli anachoka na huu mchezo kila siku na kweli mimi ndivyo ninavyokickia siwezi kuficha hisia zangu kwa mke wangu na siwezi kujichua sbb ujana huo ilishapita.Nimem-force mara kadhaa ndo maana kasema anataka kuondoka kurudi kwao sababu hayawezi kabisa nayomwambia kuyafanya kila siku.
 
WanaJF naombeni mnishauri;
Ninaishi na mke wangu kwenye ndoa kwa mwaka wa tatu sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja mwenye miaka miwili kwa sasa.Katika muda wote wa ndoa yetu nilikuwa mikoani na nje ya nchi hivyo sijwahi kuwa na kwe wangu kwa miezi miwili mfululizo na huko nilikokuwa nilikuwa nikitafuta ''mapozeo'' kupunguza hamu ya tendo.Kwa hivi sasa nimekaa kwa muda mrefu na mke analalamika kuwa niko too demanding kwenye tendo la ndoa kwani katika hali halisi kila siku nafanya na ni minimum of 2 rounds per night.Sasa kwa sasa tuna ugomvi kila siku anadai anachoka na hawezi kuhimili hali hii na mimi naogopa kumsaliti kwa kwenda kutafuta huduma hiyo nje ya ndoa naombeni ushauri.
aisee ungekuwa hujaoa ningeshakufanyia fikra bila kujali kama wewe ni mweupe au mfupi.namtafuta mtu mwenye sifa kama zako mwaka wa saba sasa sioni dalili.
da!kweli kwenye miti hakuna wajenzi
 
aisee ungekuwa hujaoa ningeshakufanyia fikra bila kujali kama wewe ni mweupe au mfupi.namtafuta mtu mwenye sifa kama zako mwaka wa saba sasa sioni dalili.
da!kweli kwenye miti hakuna wajenzi

mmmmmh kumbe lisemwalo lipo FL!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom