Mke anapomuhama mume chumban..!

Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,265
539
Ndoa ina raha na karaha, na makosasa madogo2 hucyoyategemea yanaweza yakaiweka ndoa ktk wakat mgumu au kuivnja kabsa. Nije kwenye point ilonileta jamvin...
Bishost kamuhama mumewe chumban kwa madai kwamba mumewe mchaf.! Anafanya v2 raf mara mswaki kauweka juu ya tv, cku hiyo akibrash via2 brash anaikuta ju ya redio, akitoka kuoga kopo na brash kitandan. Akitoka alikotoka 1 kwa 1 kitandan bla kujal mchaf au lah. Kitanda kinageuka beach kimejaa mchanga. Mdada wa wa2 ana mtoto anaogopa mwanae kuumwa mafua na rashes. Kajitahd kumnawisha mume lkn wap! Akitoka akirud kaz ileile. Mdada wa wa2 anabadirisha mashuka twice per day. Na mume akilala km anafanya mashndano ya kukimbia riadha kitandan, mara mto aukute chin mara shuka lote alikusanye alilalie. Wakilala wote upande wa bishost 2 ndo unakua salam. Kaongea kachoka, kamnawisha lakin wap? Kaamua kuama chumba yeye na mwanae kwa mume anaingia kutandika 2. Anavyodai awali hakua hvy sasa cjui ndo mazoea yamezd au anamkomoa? Nimemwambia amwambie m2 anae heshimiana sana na mumewe may b atamuelewa au ataona aibu na kujirekebsha. Otherwise dada wa wa2 atateseka hana hausgel na ana mtoto kufanya kaz 1 mara kumi kumi inaboa lol... Na kumtenga chumba yale mambo mengne watapeanaje? Ndo mwanzo wa mech za nje.
Jaman kuwen makin vile vtabia vnavyokera wenz wenu jitahdn mviache!
Nawasilisha.
 
umhame mume kisa mchafu?
Kwa nini asimloweke kwenye beseni?

Wakati wanaoana hakujua?

Hizi ndoa za sasa zimerogwa?

Ana lake jambo

kaloweka kachoka. Na kumuhama hilo nalo neno nimemkomvis arud hatak.
 
huyo aliyekusimulia ye mwenyewe mchafu!
hivi mabinti mnapoona mama zenu wamekaa kwenye ndoa miaka mpaka nyiemnafanyiwa send off na kuzaa watoto mnfikir iliwapasa kuvuka mangapi!?
ambacho huwa najiuliza!?
hivi watu wanajua maana ya kuwa mke na kuwa mume au huwa mnatuhangaisha tu sie kuja kwenye vikao na mistress kibao ya kazini plus kuumwa mbu wa msimbazi?
 
snowhite mi nadhan mdada kazdsha usaf lol! Mbu wa mcmbaz ndo nin?
 
umhame mume kisa mchafu?
Kwa nini asimloweke kwenye beseni?

Wakati wanaoana hakujua?

Hizi ndoa za sasa zimerogwa?

Ana lake jambo

daaa kongosho umenichekesha sana yani amuloweke kwenye beseni.

Lakini huyu dada nae ana tatizo kabisa huwezi kuzuia au kukomesha uchafu wa mumeo kwa kuhama chumumba nadhani hapa huyu dada atajikuta anatengeneza tatizo lingine! Sitoshangaa mumewe akaanza kutoka nje ya ndoa kutafuta faraja!

Kwa nini njia ya maongezi isiwe chachu ya kutatua tatizo?

Me nadhani kama huyu mumewe hana tatizo lakini hii tabia ya uchafu si ngeni kwa huyu dada!

Mi nafikiri busara ndio ingejenga zaidi, sababu kumtenga mtu chumba hasa mumeo ni zaidi ya unyanyapaa na hii itamhathiri sana.

Watu wana sahau ndoa ni 'tamu chungu'
 
hivi hiyo ndoa ni ya mkeka au ndio zile za kupigana mitama kisimani???
ina maana katika uGF na uBF hizo tabia za uchafu zilikua likizo? mi naona kama huyo bi dada anajishaua tu kama si kujishembendua
 
Kuishi na mtu mzima mwenzio tena ambae hujazaliwa nae kazi sana!
Ila hilo la kuwa raf kupitiliza linaboakwa kweli.
Ni vizuri kushiriki ktk kuweka mazingira ya majumbani kwenu ktk hali ya usafi.
Si unavua viatu.., kimoja kiko mlango wa sebuleni kingine uvunguni.., soksi moja sebuleni ya pili mlango wa bafuni!
Haijalishi kama umeoa ama la.., kwani ulipokuwa bachela nani alikuwa anakutandikia kitanda chako..??
 
umhame mume kisa mchafu?
Kwa nini asimloweke kwenye beseni?

Wakati wanaoana hakujua?

Hizi ndoa za sasa zimerogwa?

Ana lake jambo

kuna wengine hata ukiwaloweka hawaloekeki.......

Ila kuna viumbe wachafu jamani....uchafu upo kwenye damu na ngozi zao....imagine mswaki juu ya tv, brashi kitandani....kitanda ukungute ubadilishe mashuka akiingia tu inakua kama umelala nje uwiiiiii

pole yake huyo bi dada........

Hapo kusafisha tu kwa siku lazima uumwe mgongo....

Sipati picha weekend mkifanya masihara mtalala na majembe kitandani.....

Uwiiiiii

wanaume mbadilike
 
hivi hiyo ndoa ni ya mkeka au ndio zile za kupigana mitama kisimani???
ina maana katika uGF na uBF hizo tabia za uchafu zilikua likizo? mi naona kama huyo bi dada anajishaua tu kama si kujishembendua

abhakikolo abha munjin jambo abha nkejiji bhicbhile ukogona ne ngoko.
 
Daaah ni kweli kabisa huu ni uchafu kutoka kwenye damu! Ila kwenye kulala na jembe hapo hahahaha nimecheka sana!
Tunajua kabisa huyu dada kwakweli ana teseka sana lakini hii njia anayo tumia sasa inatamuuza pia! Hapa ancho fanya ni separation ! Ange tumia njia nyingine lakini si hii kwani ana hatarisha ndoa yake kabisa!

kuna wengine hata ukiwaloweka hawaloekeki.......

Ila kuna viumbe wachafu jamani....uchafu upo kwenye damu na ngozi zao....imagine mswaki juu ya tv, brashi kitandani....kitanda ukungute ubadilishe mashuka akiingia tu inakua kama umelala nje uwiiiiii

pole yake huyo bi dada........

Hapo kusafisha tu kwa siku lazima uumwe mgongo....

Sipati picha weekend mkifanya masihara mtalala na majembe kitandani.....

Uwiiiiii

wanaume mbadilike
 
huyo aliyekusimulia ye mwenyewe mchafu!
hivi mabinti mnapoona mama zenu wamekaa kwenye ndoa miaka mpaka nyiemnafanyiwa send off na kuzaa watoto mnfikir iliwapasa kuvuka mangapi!?
ambacho huwa najiuliza!?
hivi watu wanajua maana ya kuwa mke na kuwa mume au huwa mnatuhangaisha tu sie kuja kwenye vikao na mistress kibao ya kazini plus kuumwa mbu wa msimbazi?

Kumbe na wewe ushaoza wengi kama mie? Kina mama mnaambizana "baada ya kikao cha send off tukutane dakika chache tujadili maandalizi ya kitchen party". Ha ha haaaaaa! Eti mbu wa Msimbazi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom