Mke anapochukua likizo na kumficha mumewe ili ajirushe na bosi wake!

Hivi vitendo vya kutembea nje ya ndoa na watu mbalimbali wakiwemo maboss ni vya kawaida mno siku hizi. Pengine tatizo la huyu ni kwamba amefanya mchezo huo wakati wa likizo yake ambapo angetakiwa kupumzika na kumhudumia mumewe na familia.
 
Assume huyo mke ni SH ya The Boss na anayelalamika ni Asprin halafu mke wa The Boss ni SH ya Dark City hadi raha yaani!

Ahsante sana Kaunga kwa kuweka utabiri wako,

Hata hivyo, watu wenye pyepye nyingi siyo watendaji hata kidogo....

Naomba uwe mwangalifu ili usije kuingia chaka!!

Ndoa zina mitihani mingi na huo ni mmojawapo....Ya kikukuta ndiyo mtu unaijua vizuri dunia.

Tatizo ni kwamba wengine tumeshayaona/yashuhudia au tumeguswa na kwa hiyo tumeshavunja ukimya!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
kabla sijaanza kumlaumu huyo mke.... Humu si kuna wanaotetea nyumba ndogo? Sasa basi inawezekana huyo mke ni nyumba ndogo ya boss.....

Anyway pole sana mkuu, inauma sana

uuuuuuwi mbavu zangu,wapi Asprin, The Boss, Kaizer na wengine woote wa mrengo wa kulia waje watushushie mistari ya jinsi ya kuhandle mume aliyegundua una likizo wakati umemdanganya kuwa huna ili ujirushe na boss wako,nataka hints jamani!ahahahahahhahhhahhha leo watatokaje povu hapa.wakuye wakuye,wakuye kipande hii.!
 
Ndoa nyingi sanaa ukichunguza unaweza kuta HAKUNA ALIYE MSAFI!!!!! Maisha yanaenda resi sana, mtu umeolewa sawa umepata MUME ila kasi ya maendeleo hapo nyumbani haikuridhishi!!!!!!!!!! Mimi nawajua WAKE ZA WATU WENGI SANA WANAJIVINJARI NA MABOSI ZAO, WAFANYAKAZI WENZAO NA MAJIRANI WENYE UWEZO MKUBWA. Yaaani ni wengi sana, hata maofisini kutembea MTU na MTU wote mnandoa ni jambo la kawaida sanaaa. NA HAYA MAGARI YA JAPAN NA VIWANJA vinavunja NDOA sanaa. MUME KAFURAHI WIFE KACHUKUA MKOPO WA GARI KAZINI KUMBE KAHONGWA NA THE BIG BOSSS.!!!!! Afu sometimes mume unaliendesha Boss ankusifia HONGERENI KWA KUNUNUA GARI!!!!! Soooo sad!!!
 
Siwezi kuwasema hao uliwaita,

Ila hadi kufikia hapo, huyo wanamke ameshachemsha....

Kwa mujibu wa kanuni zao za kuchepuka, lazima mhusika ahakikishe kuwa hatakamatika....Kwa hiyo, huwa wanachukua hatua zote muhimu ku-conceal nyendo zao.

Huyu katumia ujanja wa kitoto na adhabu yoyote atakayopewa ni halali yake!

Unahitaji zaidi ya hapo? If yes, wakuu wenyewe.. Asprin, Kaizer, The Boss, Teamo et al...watakuja kukata kiu yako!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ndoa nyingi sanaa ukichunguza unaweza kuta HAKUNA ALIYE MSAFI!!!!! Maisha yanaenda resi sana, mtu umeolewa sawa umepata MUME ila kasi ya maendeleo hapo nyumbani haikuridhishi!!!!!!!!!! Mimi nawajua WAKE ZA WATU WENGI SANA WANAJIVINJARI NA MABOSI ZAO, WAFANYAKAZI WENZAO NA MAJIRANI WENYE UWEZO MKUBWA. Yaaani ni wengi sana, hata maofisini kutembea MTU na MTU wote mnandoa ni jambo la kawaida sanaaa. NA HAYA MAGARI YA JAPAN NA VIWANJA vinavunja NDOA sanaa. MUME KAFURAHI WIFE KACHUKUA MKOPO WA GARI KAZINI KUMBE KAHONGWA NA THE BIG BOSSS.!!!!! Afu sometimes mume unaliendesha Boss ankusifia HONGERENI KWA KUNUNUA GARI!!!!! Soooo sad!!!

Wanaoishi duniani ni watu na ndio wanaofanya haya tunayoyaona kila siku....Maadamu yanatokea, ni jukumu la mtu kuamua jinsi anavyotaka kuishi katikati ya vurugu mechi kama hizo...You either be with them or against them!

Ila nasikitika kuwa kuna watu kibao, wanaoshangaa mambo haya kwenye public wakati wao ni wadau muhimu...

Babu DC!!
 
daah veve meandika barua defu sana...goja venyewe takuja sasa hivi.. nehiii
 
Wanaoishi duniani ni watu na ndio wanaofanya haya tunayoyaona kila siku....Maadamu yanatokea, ni jukumu la mtu kuamua jinsi anavyotaka kuishi katikati ya vurugu mechi kama hizo...You either be with them or against them!

Ila nasikitika kuwa kuna watu kibao, wanaoshangaa mambo haya kwenye public wakati wao ni wadau muhimu...

Babu DC!!

Babu DC dunia imekuwa ya KICHINA, Ndoa zimekuwa ndoano, si enzi zako za MKOLONI. Siku hizi mwanamke mwenye ndoa yenye AMANI na UTULIVU, mfano wa kuigwa. wkt hana USAFIRI haheshimiki kwenye jamii wala nini hata kwenye KITCHEN PARTY HAALIKWI(ana hela ya waxxx) Ila SHANGINGI lililolewa lenye HARRIER, maarufu kwa KUCHUNA MABOSS linaheshimika sanaaa mtaani tena kwenye KITCHEN PARTY anakuwa MWENYEKITI WA KAMATI na MAMA MLEZI WA BI HARUSI, sasa unategemea huyo bi harusi ndoa yake itakuwaje? UPO HAPO BABU DC????? TIMES ARE CHANGING FOR THE WORST!!!!!!!LOLEST!!!(its not a laughing matter n im ashamed of myself)
 
Hahaaa wapi thubutu! mleta mada anaonekana ni mwenyewe limemkuta kama sio yeye namkumbusha tu mambo ya watu awaachie wenyewe binadamu wapo busy sana kutazama vya jirani huku vyakwao vikitoa moshi wakifikiri ni manukato.

hahahaaaaaaaaaaaa, ulivyojibu hadi nahisi inakuhusu

mhhh
 
pole sana!kaeni chini muwekane sawa!huyo mwanamke atakuwa kakubuhu!yani unachukua likizo mumeo hajui,na kila siku unajifanya unaenda kazini?
 
wakati mwingine mambo ya ndoa ni vigumu kuyaingilia au kutoa lawama upande mmoja wakati upande mwingine wa shillingi huujui. huwezi jua kilichopelekea huyu dada kufanya haya. nijuavyo mimi wanawake ni mara chache sana kutoka, na mara nyingi wakiamua kuna sababu, tena si ndogo. Lipiza kisasi ya mwanamke ni funga kazi. huyu baba ajiulize yeye kwanza ni msafi kiasi gani...
 
Hahaaa wapi thubutu! mleta mada anaonekana ni mwenyewe limemkuta kama sio yeye namkumbusha tu mambo ya watu awaachie wenyewe binadamu wapo busy sana kutazama vya jirani huku vyakwao vikitoa moshi wakifikiri ni manukato.
ok

ila umereact kama inakugusa vile
 
Back
Top Bottom