“Mke Anajipodoa sana wakati wa kwenda kazini”

kwanza huyo sio mkeo?

pia ulivyomwona mara ya kwanza hizo nguo alikuwa havai? hizo make up alikuwa hapaki?

yaani mtu aache kuvaa apendavyo na kupaka atakavyo kwa ajili ya insecurities zako? kutokujiamini kwako kwa gharama zake?

alokwambia kuvaa gubigubi ndo kutomegwa nani? tabia ya mtu haipo kwenye nguo...

hata akijitanda kama kicheche kicheche na hata atembee na bikini mtaani kama sio kicheche haitombadili


jiamini.....
 
Kujipodoa wakati wa kwenda kazini, au kutoka ni kawaida kwa wanawake wengi. Na wakati mwingine huwa ni tabia na mazoea ya mtu kupenda kujipodoa.

Linapokuja suala la mavazi, hapo inategemeana na tabia utashi na umbile la mtu. Kuna maumbile mengine mavazi mengi utakayovaa yataonekana kama ya uchokozi. Hata hivyo hii haina maana mwanamke avae mavazi mafupi sana, au aachie kifua wazi, au ya kubana sana kuonyesha mkato wote wa mwili. Kama mchumba wako anavaa mavazi ya uchokozi ambayo wewe huyapendi, mshauri aache, hata kama yeye anafurahia kuvaa hivyo bila kujali wanaomuangalia. Naamini atakusikia, ukiona mnashindana kuhusu mavazi na kuzidisha vipodozi, sogeza mbele tarehe ya harusi na uendelee kumchunguza bila shaka utagundua mengine.

Kitu kingine chunguza tabia ya mchumba wako ambapo itakuwa rahisi wewe kumshauri na kujua la kufanya.
 
kwanza boflo mi nauliza umeacha kuliwa?
Kama ndio bas ya heri hayo,huyo binti we muache apendeze tu ila wewe ongeza dozi tu na maufundi hm,akitaka kupigwa nje atapigwa tu hata aende na mabutu kichwani na gagulo huwezi kumzuia,ikiwezekana akiwa anajiremba unampiga kimoja cha fasta hapo hapo kwenye dressing table ili aende nacho job
 
kwanza huyo sio mkeo?

pia ulivyomwona mara ya kwanza hizo nguo alikuwa havai? hizo make up alikuwa hapaki?

yaani mtu aache kuvaa apendavyo na kupaka atakavyo kwa ajili ya insecurities zako? kutokujiamini kwako kwa gharama zake?

alokwambia kuvaa gubigubi ndo kutomegwa nani? tabia ya mtu haipo kwenye nguo...

hata akijitanda kama kicheche kicheche na hata atembee na bikini mtaani kama sio kicheche haitombadili


jiamini.....
unanifungua macho asante mkuu, nikuulize swali?? Hivi kuvaa nguo zenye kuonyesha maziwa, ni sawa???
 
unanifungua macho asante mkuu, nikuulize swali?? Hivi kuvaa nguo zenye kuonyesha maziwa, ni sawa???

hayo maziwa anayonyeshaje? kama wanawake wa siku hizi wafanyavyo?

ndg yangu ukianza kufuatilia mambo ya wanawake na fashio zao utaingia uchizi, hususan kama toka unamtongoza alikuwa anavyaa hivyo, unaweza kumweleza unavyojisikia lakini usitegemee kubadilika for your sake.
atabadilika pale atakapoamua. na kubadilika hutegemea na umri pia, kama bado yupo kwenye makuzi imekula kwako...

ndo maana nakwambia kitu kikubwa ni yeye kuwa mwaminifu kwako na kujitunza, as long anavyaa nguo ya ndani haionekani inatosha, au akivaa ajue vazi lipi ni la wapi asije kutinga kimini ukweni..... na kama ana tabia njema, mpole, mkaribu anakuthamini na kukupenda kwa dhati who cares khs nguo?
 
Wote wanavaa vizuri na kujipodoa siku hizi,
hata kama wanaenda nyumba za ibada wanafanyaga hivyo hivyo,
kitu ni uaminifu tu.
 
Wote wanavaa vizuri na kujipodoa siku hizi,
hata kama wanaenda nyumba za ibada wanafanyaga hivyo hivyo,
kitu ni uaminifu tu.

nguo za mitego jee?? Kama kuvaa sketi fupi sana, na kuvaa nguo zinazoenyesha maziwa??
 
Kwan wewe unataka aende kazini akiwa amechakaa chakaa au mchafu? Kazi anafanyia wapi, ni mtumishi wa umma au vip?
 
shemeji yetu mtu wa mapoudawaaa..anafanya kazi gani kwani?.. receptionist?,bar maid?,guest house matron? au secretary?mhudumu wa ndege?mhudumu wa mabasi yaendayo mkoani?mhudumu wa treni za reli ya kati?mkatisha ticket ubungo bus terminal?mpokea watalii ktk mbuga za wanyama?model wa kuonyesha mavazi?anatengeza matangazo?customer care wa bank,saccos,finca?muuza duka?security guard?traffic?askari magereza?shoe shiner?muuza magazeti?
 
Kujipodoa sio tatizo kwani hata wewe ulimpenda akiwa amejipodoa! sidhani kama angekuwa na matongotongo usoni unge mpenda. Kuhusu vimini ongea nae kama ana kupenda atakuelewa.
 
Kitu kimoja unachotakiwa kufahamu ni kwamba mkeo lazima ataliwa tu utake usitake, la muhimu hapo ni kuishi kwa matumaini na kuona hali ya kumegewa kuwa ya kawaida. Vinginevyo hata atakapovaa chupi nyekundu unaweza kudhani anamvalia mwanaume wake wa nje
 
Kitu kimoja unachotakiwa kufahamu ni kwamba mkeo lazima ataliwa tu utake usitake, la muhimu hapo ni kuishi kwa matumaini na kuona hali ya kumegewa kuwa ya kawaida. Vinginevyo hata atakapovaa chupi nyekundu unaweza kudhani anamvalia mwanaume wake wa nje

Jamani Ndyoko! hivi ni kweli unaamini mke ni lazima aliwe????
Unawezaje kuishi kwa matumaini ukingonjea mkeo amegwe????
du! hii haijakaa sawa.

kuna mahali nimesoma wameandika hivi "kwa habari ya zinaa ni heri kila mume awe na mke wake mwanyewe.." inawezekana ukawa na mke/mume asiyemegwa na wengine, msaidie mkeo/mumeo kupunguza vishawishi kama mavazi, vitakavyowavuta wengine watamani kummega.
 
Aisee angalia kama anashindwa kukusikiliza sasa nidhani atakusikiliza kwenye ndoa, ongea naye akipuuza achana naye
 
Asante, na mimi hapo ndipo napatwa na wasiwasi, Mke wangu wa kwanza niliachana naye baada ya kugundua ninagongewa. Sasa hivi nataka niwe makini sana


Mkuuu Maelezo yako ya kwanza na haya hapo nayatiria mashaka kabisaaaaaa wajua kwanini. Kwanza lazima ujitambue mapungufu yako brooo isije kuwa wewe ndie chanzo cha mke wa kwanza kuliwa nje ya ndoa either kwa vitabia vyako vya ajabu ajabu kwani hujavioanisha hapa ilikuwaje mke wa kwanza ika over?

Pili Choice yako ikoje??

tatu hujiamini na hujitambui, fanyia kazi hayo mambo then uone kama ndoa yako ya pili itakuwa na mushikeli mkubwa kwani twajua fika katika ndoa pia kuna shuruba zake ni kuwa tu twazibeba na huwezi simulia zote kwa watu wako wa karibu,

Kuna wengine wanaaamini kwa 60% ya wanawake walio katika ndoa hawatoki njee ya ndoa zao mean hawafanyi mapenzi nje ya ndoa zao means kuwa na serengeti boys ni no kwao na 40% ya wanawake walio olewa ndio huwa na serengeti boys wa kutosha means wanatembea nje ya ndoa zao, Na huku huchangia either kwa tabia tu ya mtu au mwenzi wake hamfikishi kileleni au tabisa tuu za ajabu katika ndoa zakupelekea matukio kama haya ya kutoka nje ya ndoa.

Na kuna wengine wanaaamini tuuu katika mwaka mzima kama wewe mwanaume unaweza kuwa na shamba yako au a.ka. Nyumba ndogo kwa muda mrefu kwanini mkeo nae asiliwe japo mara mbili au tatu kwa mwaka na serengeti boys au jamaa tu huko nje esp huwa ni watu wa karibu kabisa ndio wanakula mkeo na sio mtu wa mbali na wanaume wengi wana kura jamaa wa karibu kabisa na wake zao hiyo ndio fact nawapa nilisha chunguza sana na nika baini hilo.

Sasa mkuuu changanya akili yako na ushauli wa watu theni ujipe majibu ujijue uko wapi katika hilo

 
Back
Top Bottom