Mke anahitajia

Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
6,676
11,110
Habari za majukumu wadau.

Kama kichwa cha habari kinavyojielea, ninahitaji kuwa na mke ilituweze kusaidiana kujenga familia bora.

Sifa za mtu ninayemtafuta:
- Awe wife material (mchapa kazi n.k)
- Awe ana elimu kuanzia Diploma angalau
- umri kuanzia miaka 27 hadi 33
- Urefu wastani (usiwe mfupi sana)
- Umbo wastani
- Rangi yoyote (weupe mtapewa kipaumbele)

Meningine tuta zungumza PM

Sifa Zangu:

- Husband material
- Elimu.- degree
- Umri 36
- Urefu 185 cm
- umbo watsan (kg 90)
- Rangi.- Mweusi (sio ule wa kiwi lakini)
- Mwajiliwa sekta binafsi na mjasilia mali (uwezo wa kutunza 1m upo)

Nawasilisha kwa walio serious
 
Mkuu mbona kama miaka yako na ulichoandika haviendani?36!!!!!! Afu unajihita wafe material ? Sorry husband material?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom