Mke amuua mume kisa wivu wa kimapenzi

Huku petrol, kule mwingine kakatwa masikio, huku mwingine kauawa na mfanyakazi wake, huku mtoto kamuua mama yake, huku chupa za fanda na miranda. naona matukio yanazidi kuwa mengi kila saa..
Sasa kama ulikuwa unaona ile habari ya Sodoma na Gomora ni hadithi tu, sasa ni wakati wa kuona uhalisia wenyewe!
 
Uzi hauna wachabgiaji. Ila habari ya mume aua mke, feminist huwa wanatokwa povu utafikiri muuaji yuko jf
Kuna yule mwingine aliyekatwa masikio na jamaa yake kule Mkoani Rukwa, nako hatunywi maji! Maana vikao haviishi vya kushinikiza jamaa kukamatwa! Ila wao wanatuua tu kikatili kwa petroli!

 
Wala hakuna cha kushangaza hapa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi alipozaliwa tu. Mimi natamani nipangiwe kufa demu mkali amenata kifuani mwangu.
Jitu ambalo halina akili kabisa ni wewe mburula ambae kuwa na smart phone na kupost upuuzi unaona dili. Shenzi mkubwa.
 
Jitu ambalo halina akili kabisa ni wewe mburula ambae kuwa na smart phone na kupost upuuzi unaona dili. Shenzi mkubwa.
Mjane pole Jiwe kafa na harudii tena. Aiiii aiiii pata uhondo wa ushuz mbrrrrrr mbrrrrrr mbrrrrrr.

Qengay
 
Aisee!! Ifikie hatua kuanzishwe madarasa au hata vipindi maalum kwenye maredio na Tv vya namna ya watu kuweza kudhibiti hasira hasa za mapenzi.

Mana ndo zimekuwa mwiba sasa na chanzo cha watu kuuwana na hata kufanyiana vitu visivyo.
 
Back
Top Bottom