Mkazi mmoja wilayani Bukombe afanya maamuzi mazito

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
mkazi mmoja wilayani bukombe mkoa wa shinyanga amejipiga risasi mdomoni na kufariki muda mfupi baada ya kuanza kupatiwa matibabu, alichukua maamzi hayo kwa madai ya maisha magumu mkazi huyo bw. Maganga alifanya kitendo hicho mbele ya mkeweTeresia na bw. john ambaye ni jilani yake..yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania?...source redio 1
 
mkazi mmoja wilayani bukombe mkoa wa shinyanga amejipiga risasi mdomoni na kufariki muda mfupi baada ya kuanza kupatiwa matibabu, alichukua maamzi hayo kwa madai ya maisha magumu mkazi huyo bw. Maganga alifanya kitendo hicho mbele ya mkewe teresia na jilani yake..yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania?

Source ya habari hizi
 
Huyo mkazi nae ni mzembe sana anamiliki vipi silaha ya moto then anakuwa na maisha magumu?
 
Huyo nae mzembe. Wangapi wana maisha magumu lakini hawajiui? Siku zake zilishafika. R.i.p
 
labda alipokea majibu toka angaza ila kuficha ukweli wanajidai eti maisha magumu....je angekuwa kama wale waishio kwa nguvu za macho..kwa kutwgemea jalala liwatunze????
 
Mi nadhani kujiua si suluhisho la matatizo. Dawa ya tatizo ni kulikabili mpaka suluhu ipatikane. Huko ni kukimbia majukumu. Namlaumu sana marehemu.
 
hata mimi ntakapotaka kujiua lazima yule aliyeniaidi maziwa na asali mara sijui brabara za juu ntakwenda nae kwa nzambe tukale vzur maziwa na asali kwa mwenyewe sub annah allah
 
Huyo mkazi nae ni mzembe sana anamiliki vipi silaha ya moto then anakuwa na maisha magumu?

hivi ni kweli alikuwa hajui matumizi ya silaha? mbona wenzake wanatumia vizuri, kumrekebisha anayekuletea kiwingu.
mfano gamba ukiwaona lilivofanya kwa dereva wa daldala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom