Mkazi mmoja wilayani Bukombe afanya maamuzi mazito

Huyo mkazi nae ni mzembe sana anamiliki vipi silaha ya moto then anakuwa na maisha magumu?

WEEE TANZANIA vijijini kuna yale magobole ambayo ni ya kutengeneza kienyeji na risasi ni vipande vya nondo huhitaji kuwa na uwezo kipesa kuwa na hilo
gobore
 
kweli kuliko kufa mwenye ni bora angemsubiri kilimo kwanza amudunde risasi ndiyo ajiue na yeye..

Kwa Comment hii nakuvika taji la na Osama Bin laden katika thread hii mpaka comment yako itakapofutwa
 
Maisha magumu kweli na cha moto alikuwanacho? Huyo hafai hata kuambiwa R.I.P. Mi ningeingia tu town nakamata duka m1 la gamba then mambo swafii!
 
Hakuna cha maamuzi mazito apo jamaa itakuwa ni wivu wa mapenzi tu. Uwezi kumiliki silaha halafu ukasema una maisha magumu, kwanza hiyo silaha ulinunua ya nini?
 
Hakuna cha maamuzi mazito apo jamaa itakuwa ni wivu wa mapenzi tu. Uwezi kumiliki silaha halafu ukasema una maisha magumu, kwanza hiyo silaha ulinunua ya nini?

yaaani we mawazo yako ya kitoto kweli ndo maana ulifeli chuo...so kuwa na silaha ndo kipimo cha kuwa na maisha mazuri?
 
yaaani we mawazo yako ya kitoto kweli ndo maana ulifeli chuo...so kuwa na silaha ndo kipimo cha kuwa na maisha mazuri?

Mimi namiliki silaha, moja ya kigezo cha kumiliki silaha ni kulinda mali zako
 
mkazi mmoja wilayani bukombe mkoa wa shinyanga amejipiga risasi mdomoni na kufariki muda mfupi baada ya kuanza kupatiwa matibabu, alichukua maamzi hayo kwa madai ya maisha magumu mkazi huyo bw. Maganga alifanya kitendo hicho mbele ya mkeweTeresia na bw. john ambaye ni jilani yake..yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania?...source redio 1

RIP Mr Maganga

ingawa hali ni ngumu ila kwa god unakesi ya kuuwa nafsi yako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom