Mkate wa kipakistan

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,568
16,902
Mahitaji
Unga wa ngano vikombe 2
Sukari nusu na robo kikombe
Mafuta ya kupikia nusu kikombe
Yogourt vijiko 3 vya kulia
Baking powder kijiko 1 cha chai
Mayai 3

Namna ya kutengeneza

1)changanya unga wako pamoja na baking powder bila ya kutia maji then weka pembeni
2)vunja mayai yako kwenye bakuli safi then weka yogurt,sukari,mafuta then changanya kwa kijiko hadi vichanganyike vizuri
3)add unga wako ambao uliuchanganya na baking powder
4)changanya mchanganiko wako kwamikono ilio safi kwa dakika 5
5)weka kwenye trey ama sufuria tayari kwa kubeki napendekeza moto usiwe mkali
6) mkate tayari kwa kuliwa
 
Waweza kula mkate wako kwa kahawa,chai ya tangawizi ama juice au hata soda
 
Nahisi huo mkate uko poa! niambie kwa vipimo hivyo unafaa kwa watu wangapi ?maana mi mtu wa mikate ,chapat,i maandazi na pizza (Hii tunanunua) kwa chakula cha usiku!
 
Watu wanne ila vipimo tumia kikombe kikubwa..., mzuri kweli utakuja kuniambia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Barabara!bila shaka ni kipimo muafaka familia yangu me &wife watoto wawili 7 &4yrss dada kazi na paka wawili!
 
Ah usinikumbushe majonzi,mmoja wapo ametangulia mbele ya haki!

Pole sana unanikumbusha paka wangu alikua mzuri sana alipewa sumu maskini na majirani wallah kuna binaadam wana roho mbaya....
 
Mhh ,mbona case zinafanana?hata "snowy" wangu kapewa sumu nina hakika ni majirani ila sijui jirani yupi!my daughters were devastated by the incident ,it is so sad when we peruse the family photo albums or some clips,he was so cute,his only crime was not to be afraid of people even strangers!
 
Pole sana.......
 
Masikini watoto wa Ghaza, wanataabika, njaa yao, kuuliwa kwao....
 
Masikini watoto wa Ghaza, wanataabika, njaa yao,

Waombee dua hii...

اللَّهُمَّ أَعِزَّ الْإِسْلَامَ وَ الْمُسلِمِين

اللَّهُمَّ انْصُرْ إِخْوَاننَاَ الْمُسلِمِين وَ المُجَاهِدِينَ فِي فِلِسْطِين

اللَّهُمَّ ثَبِّتْ إِيمَانَهُمْ وَ أَنْزِلِ السَّكِينَةَ عَلَى قُلُوبِهِم وَ وَحِّدْ صُفُوفَهُمْ

اللَّهُمَّ أَهْلِكِ الْكَفَرَةَ وَ المُشْرِكِينَ

اللَّهُمَّ دَمِّرِ الْيَهُود وَ إِسْرَآئِيل وَ شَتِّتْ شَمْلَهُم وَ فَرِّقْ جَمْعَهُمْ

اللَّهُمَّ انْصُرْ المُجَاهِدِينَ عَلَى أَعْدَائِنَا أَعْدَاءَ الدِّين

بِرَحْمَتِكَ يَآ أَرْحَمَ الرَّحِمِينَ آمِينْ يارب العالمين
 
Hii mikate ni mitamu sana nilishawahi kuila tena na chai ya maziwa ni balaa
 
Masikini watoto wa Ghaza, wanataabika, njaa yao,

Waombee dua hii...

اللَّهُمَّ أَعِزَّ الْإِسْلَامَ وَ الْمُسلِمِين

اللَّهُمَّ انْصُرْ إِخْوَاننَاَ الْمُسلِمِين وَ المُجَاهِدِينَ فِي فِلِسْطِين

اللَّهُمَّ ثَبِّتْ إِيمَانَهُمْ وَ أَنْزِلِ السَّكِينَةَ عَلَى قُلُوبِهِم وَ وَحِّدْ صُفُوفَهُمْ

اللَّهُمَّ أَهْلِكِ الْكَفَرَةَ وَ المُشْرِكِينَ

اللَّهُمَّ دَمِّرِ الْيَهُود وَ إِسْرَآئِيل وَ شَتِّتْ شَمْلَهُم وَ فَرِّقْ جَمْعَهُمْ

اللَّهُمَّ انْصُرْ المُجَاهِدِينَ عَلَى أَعْدَائِنَا أَعْدَاءَ الدِّين

بِرَحْمَتِكَ يَآ أَرْحَمَ الرَّحِمِينَ آمِينْ يارب العالمين

Amin in sha Allah
 
Aamiyn
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom