Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

Ni la kipumbavu au linakusuta? How do we know for certainly kuwa nawe sio shoga? How do you persecute/prosecute someone ambaye huwezi kuthibitisha sexuality yake?
Sasa kama mtu hawezi kuthibitishwa sexuality yake, huo utambuzi unakujaje?!
Unauliza maswali ya kipumbavu,
 
Hii resolution imebase kwenye kulaani violence and discrimination, sio kulazimisha kuwatambua na kutowashitaki..

Na ofkoz kila mtu hata awe mhalifu anastahili kuwa treated vizuri kwa sababu ana haki zake pia..

Hoja yangu unaielewa lakini?
Unajua maana ya resolution? Sio wewe uliyehoji kuhusu mkataba? So educate us Mr-Know-it-all resolution ni kitu gani?
 
  • Thanks
Reactions: 911
Hili swali sipendi kulijibu kwa sababu ni la kipumbavu..
Siyo la kipumbavu, hili ndilo linalofanya watanzania wenzetu wanaopayuka ovyo, watusababishie mahusiano mabovu na baadhi ya nchi nyingine duniani.

Tanzania inakataza mpaka oral sex, yaani ngono yeyote kinyume na maumbile baina ya watu wa jinsia zozote. Ila admissibility ya kesi za sodomy huletwa na ushahidi wa macho, ukifuatiwa na vipimo vya daktari.
Kama utamhukumu mtu kwa sababu ana makalio makubwa yanayotingishika akitembea, au ana sauti laini au mwanamke asiye na matiti makubwa na ana sauti nzito, hapo utakuwa unakiuka haki za binadamu.

Ndiyo maana hii operesheni, ni ya kukurupuka, inaaibisha nchi yetu na inakiuka haki za msingi za binadamu. Ukitajwa kuwa wewe ni shoga, familia yako, wewe mwenyewe na marafiki zako wataathirika kwa nama fulani. It is traumatic na unaeza kuhatarisha usalama wa binadamu mwenzio.

Ndiyo maana watu wanataka mkuu wa mkoa aelezee au abatilishe usemi wake na ashughulikie suala hili kwa uweledi. Nchi yetu huwezi kupata cheti cha ndoa kwa jinsia moja, na ni kinyume cha sheria kufanya ngono kinyume cha maumbile. Lakini huwezi kumuita mtu shoga kwa kuwa ni mwanaume na kavaa sketi. Hiyo ni kuvunja haki za binadamu.
 
Sasa kama mtu hawezi kuthibitishwa sexuality yake, huo utambuzi unakujaje?!
Unauliza maswali ya kipumbavu,
Let's assume wewe si shoga. How come haki za mashoga zikunyime raha kama huna maslahi nazo binafsi?
 
Unajua maana ya resolution? Sio wewe uliyehoji kuhusu mkataba? So educate us Mr-Know-it-all resolution ni kitu gani?
Umeshindwa kuthibitisha hoja, unabaki kushambulia.

Nimeonesha Mikataba ya UN ambayo inaruhusu kila nchi mwanachama kuendesha masuala yake bila intervention kwenye masuala ya kitamaduni na kijamii. Na jamii ya Watanzania imekataa ushoga na hata sheria zake.

Huo mkataba unaoruhusu ushoga uko wapi? Unaleta resolutions za UN zinazosisitiza juu ya haki za binadamu ambazo zipo applicable hata kwa murderers..
 
Sasa iweje leo nchi yetu ilazimishwe kufuata mifumo ya uchumi ya wengine? Iweje leo tulazimishwe tuishi kwa mila za wengine? Kwanini leo tulazimishwe tuige utamaduni wa wengine? Kwanini huu mkataba hauheshimiwi?
Mkuu platozoom, njoo upate darsa kutoka kwa Mkuu Interest kuhusu yale ambayo mimi na wewe bado hatuyajui!!

E bhana hebu tusaidie basi....

Kama kuna kitu kinachoitwaa mila za wengine, basi bila shaka kuna mila zetu! Kama jibu ni NDIYO, mila ZETU akina nani?! Na hizo mila ni zipi?

Pili, utamaduni wetu akina nani, na huo utamaduni wenyewe unasemaje hasa!!!
 
Let's assume wewe si shoga. How come haki za mashoga zikunyime raha kama huna maslahi nazo binafsi?

I have a son ambaye akikua na kuchukulia ushoga ni kitu cha kawaida na akaingia huko itakuwa ni hasara. Wengine huanza ushoga ktk umri mdogo, kwa external factors.. Watoto huiga matendo ya jamii.

Hayo ndio maslahi niliyonayo.
 
Siyo la kipumbavu, hili ndilo linalofanya watanzania wenzetu wanaopayuka ovyo, watusababishie mahusiano mabovu na baadhi ya nchi nyingine duniani.

Tanzania inakataza mpaka oral sex, yaani ngono yeyote kinyume na maumbile baina ya watu wa jinsia zozote. Ila admissibility ya kesi za sodomy huletwa na ushahidi wa macho, ukifuatiwa na vipimo vya daktari.
Kama utamhukumu mtu kwa sababu ana makalio makubwa yanayotingishika akitembea, au ana sauti laini au mwanamke asiye na matiti makubwa na ana sauti nzito, hapo utakuwa unakiuka haki za binadamu.

Ndiyo maana hii operesheni, ni ya kukurupuka, inaaibisha nchi yetu na inakiuka haki za msingi za binadamu. Ukitajwa kuwa wewe ni shoga, familia yako, wewe mwenyewe na marafiki zako wataathirika kwa nama fulani. It is traumatic na unaeza kuhatarisha usalama wa binadamu mwenzio.

Ndiyo maana watu wanataka mkuu wa mkoa aelezee au abatilishe usemi wake na ashughulikie suala hili kwa uweledi. Nchi yetu huwezi kupata cheti cha ndoa kwa jinsia moja, na ni kinyume cha sheria kufanya ngono kinyume cha maumbile. Lakini huwezi kumuita mtu shoga kwa kuwa ni mwanaume na kavaa sketi. Hiyo ni kuvunja haki za binadamu.
Hakuna hukumu yoyote iliyopitishwa. Ilikuwa ni kukamata washukiwa na kupelekwa mahakamani for prosecution.. Ukikosekana ushahidi, wanaachiwa. Mbona kesi nyingi huenda hivyo?

Huenda kuna makosa yalifanyika kwa watu kuwaharrass washukiwa.. Hilo siungi mkono.

Halafu tunatoka kwenye mada!
 
Mkuu Mlalahoi

Huyo Interest anajifanya tu kwamba hamnazo! Siku kadhaa zilizopita alikuja na mada sawa na hii! Nikamletea docs sawa na hiyo uliyomletea... akakimbia!!

Nadhani baada ya kukimbia, ndo akaenda kujipanga upya na kurudi leo na hizo nondo zake manake hiyo siku aliongea mambo kwa kutoa kichwani! Kwa bahati mbaya sana, akatafuta nondo ambazo zimekaa kiujuma jumla badala ya kuwa specific... kwamba, Maazimio ya Umoja wa Mataifa yanasema nini kuhusu LGBT!!
 
Mkuu platozoom, njoo upate darsa kutoka kwa Mkuu Interest kuhusu yale ambayo mimi na wewe bado hatuyajui!!

E bhana hebu tusaidie basi....

Kama kuna kitu kinachoitwaa mila za wengine, basi bila shaka kuna mila zetu! Kama jibu ni NDIYO, mila ZETU akina nani?! Na hizo mila ni zipi?

Pili, utamaduni wetu akina nani, na huo utamaduni wenyewe unasemaje hasa!!!
Hahaha umekuja na huku? Hakuna neno.

Umeuliza swali ambalo jibu lake ni kubwa na pana sana. Sio kwamba sitolijibu, bali nitakupa jibu la faida ila usiwe mvivu wa kusoma na kuelewa.

Tanzania tuna mila, desturi na tamaduni zetu... Kuna watu mnadhani hazipo au hazijawa documented.. Leo nitawapatia mkazisome kisha mje tujadiliane.

Kwa ufupi, jibu lako lipo hapa > Culture of Tanzania - history, people, clothing, traditions, women, beliefs, food, customs, family

Nyingine kiasi > Traditions and Customs Only People From Tanzania Will Understand

Ongezea na hizi > https://answersafrica.com/tanzania-culture.html

Mungu akijaalia siku moja nitaanzisha thread maalum kuzielezea.
 
Hakuna hukumu yoyote iliyopitishwa. Ilikuwa ni kukamata washukiwa na kupelekwa mahakamani for prosecution.. Ukikosekana ushahidi, wanaachiwa. Mbona kesi nyingi huenda hivyo?

Huenda kuna makosa yalifanyika kwa watu kuwaharrass washukiwa.. Hilo siungi mkono.

Halafu tunatoka kwenye mada!
Hatutoki kwenye mada. Haki za binadamu ni jambo la msingi na ndicho Wizara ya mambo ya Nje inachoongelea. Unaposema nipeni orodha ya mashoga, unakosea kwa sababu leo hii ukienda polisi ukasema fulani ni shoga, haendi kukamatwa bali utaulizwa kwanini unasema fulani ni shoga? Onyesha ushahidi.
Ni sawa na ukienda kuripoti kuwa fulani ni mwizi, utaulizwa aliiba nini? Au alijaribu kuiba nini na ulimkamataje? Mashahidi?
Wanaonajisi watoto ni hivyohivyo, utaulizwa ushahidi na atapelelezwa. Lakini ukisema mtu ni shoga, ushahidi wake unatakiwa uwe ni ngono kinyume na maumbile, na siyo kupaka wanja au kuvaa sidiria kwa mwanaume. Hilo siyo kosa.
Halafu kuhusu mikataba ya UN. Resolution ni mkataba, Agreement, Accords, Treaties zote ni aina ya mikataba na nchi zinakuwa bound to those. Ukikataa hutashambuliwa kivita bali uta-risk kutengwa au sanctions.
 
Umeshindwa kuthibitisha hoja, unabaki kushambulia.

Nimeonesha Mikataba ya UN ambayo inaruhusu kila nchi mwanachama kuendesha masuala yake bila intervention kwenye masuala ya kitamaduni na kijamii. Na jamii ya Watanzania imekataa ushoga na hata sheria zake.

Huo mkataba unaoruhusu ushoga uko wapi? Unaleta resolutions za UN zinazosisitiza juu ya haki za binadamu ambazo zipo applicable hata kwa murderers..

Ili kuthibitisha hoja shurti kuwe na hoja. Na so far huna hoja ya msingi. I suspect wewe ni mnufaika wa "kuzuwiwa kwa haki za mashoga" na unahofia kuwa uwepo wa haki hizo utakuathiri. Unahofia kuwa pindi haki za mashoga zikitambulika watakuripoti

Waziri Kangi Lugola anaposema "mashoga wapo salama" anamaanisha serikali inatambua uwepo wenu mashoga (japo hadharani mnajifanya kuupinga ushoga) na inahakikisha kuwa mpo salama.
 
I have a son ambaye akikua na kuchukulia ushoga ni kitu cha kawaida na akaingia huko itakuwa ni hasara. Wengine huanza ushoga ktk umri mdogo, kwa external factors.. Watoto huiga matendo ya jamii.

Hayo ndio maslahi niliyonayo.
What if akija kuwa jambazi? What if akija kuwa fisadi? What if akija kuwa paedophile? What if tayari ni shoga?
 
Mkuu Mlalahoi

Huyo Interest anajifanya tu kwamba hamnazo! Siku kadhaa zilizopita alikuja na mada sawa na hii! Nikamletea docs sawa na hiyo uliyomletea... akakimbia!!

Nadhani baada ya kukimbia, ndo akaenda kujipanga upya na kurudi leo na hizo nondo zake manake hiyo siku aliongea mambo kwa kutoa kichwani! Kwa bahati mbaya sana, akatafuta nondo ambazo zimekaa kiujuma jumla badala ya kuwa specific... kwamba, Maazimio ya Umoja wa Mataifa yanasema nini kuhusu LGBT!!
I suspect huyu Interest ni shoga ila anayenufaika kwa "uzuwiwaji wa haki za mashoga." Kwa sababu sioni sababu za mtu asiye shoga kukerwa na haki za mashoga just like sioni sababu ya mtu asiye mlemavu kukerwa na haki za walemavu, au mtu asiye mpagani kukerwa na haki za wapagani. Upinzani wa huyu ndugu speaks volumes!
 
What if akija kuwa jambazi? What if akija kuwa fisadi? What if akija kuwa paedophile? What if tayari ni shoga?
Naam. Ndio maana ya malezi. Tunawalea wanetu vizuri ili wasije tumbukia kwenye uhalifu wa aina zote.

Halafu ushoga sio maradhi wala maumbile, ni tabia. Ndio maana tunaupiga vita kwa sababu hauna faida yoyote.

Unaye mtoto wa kiume?
 
I suspect huyu Interest ni shoga ila anayenufaika kwa "uzuwiwaji wa haki za mashoga." Kwa sababu sioni sababu za mtu asiye shoga kukerwa na haki za mashoga just like sioni sababu ya mtu asiye mlemavu kukerwa na haki za walemavu, au mtu asiye mpagani kukerwa na haki za wapagani. Upinzani wa huyu ndugu speaks volumes!
Ndio kilichobaki. Personal attack.. Maana kama hoja huna tena..
 
Ili kuthibitisha hoja shurti kuwe na hoja. Na so far huna hoja ya msingi. I suspect wewe ni mnufaika wa "kuzuwiwa kwa haki za mashoga" na unahofia kuwa uwepo wa haki hizo utakuathiri. Unahofia kuwa pindi haki za mashoga zikitambulika watakuripoti

Waziri Kangi Lugola anaposema "mashoga wapo salama" anamaanisha serikali inatambua uwepo wenu mashoga (japo hadharani mnajifanya kuupinga ushoga) na inahakikisha kuwa mpo salama.
We jamaa bhana! Kwahiyo nishakuwa shoga tayari? Dah..

Anyway, nimekuelewa. Huna lingine la kusema tena. Umeshashindwa hoja!
 
Sasa kwani nimesema wasilindwe? Hata muuaji anapaswa kulindwa, sio shoga tu.

Lakini kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria ni wajibu wa mamlaka kwa sababu sheria zetu zinatambua ushoga ni kosa/iuhalifu.

Mikataba ya UN niliyoiweka kwenye thread pale juu unaizungumziaje?
Mkuu
Unamaanisha kuwakamata kwa kuwataja majina hadharani??????
 
Back
Top Bottom