Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Inasikitisha sana hii nchi, ATCL wanahitaji kufanya kazi kiushindani na si kuanza fanya hujuma ktk soko huria. Kitendo ch ahii mikataba ni kuwanyima sector binafsi nafasi ya kushindana na kuweza endesha biashara kwa mafanikio. Ktk soko huria upendeleo na ipaka kwa wengine ni kudhulumu haki ya wengine na wateja pia kupata huduma bora km matokeo ya ushindani. Napinga sana haya makubaliano ambayo si muda mrefu yataonekana km ilivyoanza mambo ya kulazimisha watu waunganishe na TBC ambayo ipo hoi ktk kila idara. Huu ni ushetani mbaya sana kwa walaji na wawekezaji.
Mataba huu ni ni njia mojawapo ya kulazimisha TTB kuminya wengine, na baadae zitaanza hujuma ktk route.AKILI MBAYA KM HIZI HAZINA TOFAUTI NA KUISHAURI HOSPITAL YENYE MAJANGA KM MWANANYAMA ,IINGIE MKATABA NA TFDA WA KUKUZA SECTOR YA HOSPITAL.
LINI HII SERIKALI ITAACHA KUONA WAWEKEZAJI BINAFSI NI MAADUI WA SERIKALI NA IDARA ZAKE ZISIZOTAKA USHINDANI? kwani ni wapi imeandikwa kuua upinzani ndio kusaidia mwingine kutoa huduma nzuri? Hizi fikra zipotezwe ktk siasa,ktk biashara na kila kitu.
Serikali inahitaji mkataba wa nini na idara zake,zenye maslahi ya umma?Kesho tena tutasikia mamlaka za anga na viwanja vya ndege zikiingia mkataba mwingine na adhabu kwa watu wengine.Itakuwa tumechelewa sana kuona huuu ushetani.
Serikali inahitaji ubunifu na si kufanya hii biashara ya kuua wengine ili ubaki wewe.Itauwa wangapi?Wataua Kenya airways?wataua Ethiopian,Emiratee etc?
ITASIKITISHA TENA KM ATAIBUKA MTU SERIKALINI NA KUSEMA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NAO WASIPANDE NDEGE BINAFSI.HATA KM HUDUMA NA BEI NI NZURI ZAIDI KTK SECTOR BINAFSI. Hii italeta hasara mara mbili,serikali itajilipa kwa hela ile ile na hivyo mwisho wa siku itakuwa na net zero,na pia sector binafsi itanyimwa haki.
STUPID PROTECTIONISM: ktk siasa,elimu,viwanda,ndege ,media, etc.Kote serikali inafanya kazi against watu binafsi.Hii nchi lini itaach akili za dili ndogo zinazokuzwa ktk media na kijidanganya?ATCL NA TTB HAWAWEZI KUFANYA LOLOTE NJE YA TANZANIA ILI KUWEZA WATOA WATALII WA NCHI FULANI KWA BEI NZURI AU BURE,KWA VILE HAWANA MIFUMO YA KUWEZA WAPATIA WATALII MILEAGE /POINTS ZA KUWEZA ELEKEZWA KTK ROUTE ZA KUINGIA TANZANIA. MAKAMPUNI YA NJE WANAPOTOKA NDIO WANAWEZA KUSANYA HIZO POINT KWA VILE HAO WATU WANASAFIRI NAO SANA. PENGINE NI KIPINDI CHA WASOMI WA TANZANIA WAACHE UKANJANJA NA KUDANGANYA WATANZANIA KM WALIVYODANGANYA WAZEE WAO KTK MATUMIZI NA K UWAWEKEA VIFAA VYA LABARATORY WAZEE WAKAUZA NG`OMBE NA KULIPA HELA ZA ZAIDI KUMBE WATOTO WANAENDA KUCHEZEA N AKUACHA FAMIA NA UMASIKINI. HIzi akili ziwe na mwisho mkishasoma.