Mkataba wa RITES Haujavunjwa, Ngeleja alidanganya Bunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkataba wa RITES Haujavunjwa, Ngeleja alidanganya Bunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gurudumu, Jan 29, 2011.

 1. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kamati kuu ya chama cha wafanyakazi wa Rili hapa tz (TRAWU) limetaka maelezo kutoka serikalini kama kweli mkataba wa serikali na RITES umevunjwa. Hii ni kutokana na RITES kuendelea na utendaji wa kazi Kama kawaida, kukusanya mapato na kuendesha huduma za usafiri, hadi sasa. Wakati huo hali ya shirika na huduma inazidi kudorora. Wametaka majibu hayo ya serikali yapatikane ndani ya wiki moja.

  Source: Radio One Sterio taarifa ya habari saa moja asubuhi.
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  ngeleja=waziri
  ngeleja wa uchukuzi na usafiri ni nani tena wanajf?????
   
 3. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Heee, hapo kweli nimechemsha! Lakini ujumbe ni ule ule nadhani
   
Loading...