Mkataba wa miradi ya Mchuchuma na Liganga wasainiwa!

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Hatimaye Serikali imesaini mkataba wa kuchimba makaa ya mawe liganga na mchuchuma wilayani Ludewa
Source Message zinazosambazwa na Mbunge wa Ludewa braza Deo F. Haule
 
I smell fish; i passed by Mlimani city and got convoy of chinese guys plus makamu wa rais kama sikosei; naona makamu wa rais naye siku hizi anasign mikataba? ngoja tusikilize tuone itakuwaje
 
Hatimaye Serikali imesaini mkataba wa kuchimba makaa ya mawe liganga na mchuchuma wilayani Ludewa
Source Message zinazosambazwa na Mbunge wa Ludewa braza Deo F. Haule

Ule wa Kiwira alichukua Mkapa, je hii ya Liganga na Mchuchuma
wanachukua kina nani?...
 
What are the conditions in this pact? Important to know if something fishy has taken place. Wachina nao si watu
 
I smell fish; i passed by Mlimani city and got convoy of chinese guys plus makamu wa rais kama sikosei; naona makamu wa rais naye siku hizi anasign mikataba? ngoja tusikilize tuone itakuwaje
romous za kijinga. changia mada na sii kupost utumbo.
 
Nasikia mwanasheria kaingia mitini na mkataba ulioandaliwa rasmi, ikabidi kopi zilizo bakia. Aibu ya mwaka mbele ya wachina. Nasikia hawajapewa ten % ndio wakaamua kujairo huo mradi.
 
Nasikia Jk akapigiwa simu akaruhusu usainiwe na mwanasheria abakie na huo ambao ungekuwa original.
 
Uchimbaji Ludewa nakumbuka mchakato ulianza tokea kipindi cha Prof Mwalyosi, lkn kama ilivo serikali ya ccm hapakosekani magumashi katika signing ya mkataba huo na benefits/beneficiaries.
 
Nasikia mwanasheria kaingia mitini na mkataba ulioandaliwa rasmi, ikabidi kopi zilizo bakia. Aibu ya mwaka mbele ya wachina. Nasikia hawajapewa ten % ndio wakaamua kujairo huo mradi.

Ahaaaa you are not serious, inamaana wamesaini ile provisional copy?
 
muda huu naona wanaingia hapa Kempiski for Dinner nadhani ni kweli maana wachina kibao na t-shirt za Liganga Mchuchuma
 
Chrisant Mzindakaya amesaini kwa niaba ya serikali imeonyeshwa katika taarifa ya habari channel ten, Makamu wa Rais alikuwepo kwa ajili ya kushuhudia mkataba ukisainiwa.
 
Uchimbaji Ludewa nakumbuka mchakato ulianza tokea kipindi cha Prof Mwalyosi, lkn kama ilivo serikali ya ccm hapakosekani magumashi katika signing ya mkataba huo na benefits/beneficiaries.
nilianza kuusikia mchakato wa wa uchimbaji wa makaa ya mawe ya liganga na mchuchuma kuanzia mwaka 1985 wakati nimeanza kuwa na akili lakini mchakato ulikuwa kabla ya hapo
 
Serikali itapata 20% na mchina 80% kwa kuwa gharama zote za uwekezaji atatoa mchina.nikasema duh hii imekaa kinyonyaji zaidi na kuwafaidisha wao kuliko wazawa
 
Mkataba ni wa $ bilion 3. Which is more than 4 trilion za madafu. Tanzania itapata 20% ya mapato and the rest ni china. Hawajasema utalast how long..!! Anyways still fishy smelling contract...!! kwanini tusichimbe wenyewe then si ndo tuwauzie..!! Kwani tunashindwa hata kukopa hizo hela ili tuinvest wenyewe in uchimbaji then we sell them hiyo chuma....!!! Poor we..
 
kinachonichosha ni kusikia kuwa HAWASOMI HAYO MAKARATASI na WANATOA MIAKA 100 YA MKATABA aah !!!!!!!!!!
 
Kwa kuwa wataproduce umeme wa uhakika, ni heri kuliko ufisadi uliopo katika hii mijenereta ya dharula, see Dowans, Richmond, IPTL now Symbions,loads of pesa serikali inapoteza kila saa on those deeds. But I suggest,aliye nao huo mkataba atupe tuuone na tuujadili kwanza rather than just saying on abstracts
 
Serikali itapata 20% na mchina 80% kwa kuwa gharama zote za uwekezaji atatoa mchina.nikasema duh hii imekaa kinyonyaji zaidi na kuwafaidisha wao kuliko wazawa

..inashangaza kusikia mchina anapewa ku-run miradi yote miwili inayohitaji fedha nyingi kama mtaji, ie kufua nishati then kufua chuma, kwanini asipewe wa kufua umeme kwanza then akimudu afikiriwe kupewa wa pili..? APIMWE KWA UFANISI KWANZA! nn kimewasukuma kumwamini wampe yote miwili kwa wakati mmoja? wana uhakika wachina wanao mtaji..? mbona maeneo mengine tena waliyoyaanzisha wao wenyewe wanasuasua, mf TAZARA ina tatizo la mtaji but wameshindwa kpata hzo fedha..sasa kwa nishati ndo mtaji utapatikana..? wapi ambapo wenzao wameshindwa kupata?
Siku zote tunarudia makosa yale yale! yanngu macho subirini muone kitakachofanyika!
 
MCHU CHU MA .... waaacheni na wao <span style="color:#b22222;">wachume</span> ....&nbsp;
 
Unategemea kuwa huyo fisadi Mzindakaya atakuwa ameelewa nini kimeandikwa katiika mkataba huo? Msisahau huyu mzee ndiye anaedaiwa na wizara ya maliasili fedha nyingi kutokana na kitalu cha uwindaji alichikomandia; pia ana mkopo wa mabillioni toka benki kuu [alipewa kiharamu na marehemu Ballali ndio maana akawa anamtetea bungeni]eti wa kusindika nyama ambao ni bogus, sasa amejikomba kwa Vasco kampa huo uenyekiti wa NDC kazi ambayo ndio anaifanya kuwa ni ya full time badala ya kuongoza vikao vya bodi tu!!
 
Kama hatuna technologia na tumehangaika sana kutafuta wawekezaji....tunashindana terms na ukilinganisha wengine wote walioleta....offer zao wachina ndio afadhali kuliko wote...wapeni kuliko kuwapa wana siasa wakaleta watu wao nchi ikapata 2% zingine zao!!!aibu
 
Back
Top Bottom