Huu mradi una faida kwa Taifa ndio mana watu walitaka kuhujumu kama wanavyofanyaga kwingine. Sasa wameshindwa kuhujumu basi tuwe na Imani kwamba mradi huu utaleta faida kwani 10% hakuna aliyepata. Na Wachina wameonyesha plan zao sio mchezo Ludewa itakuwa the best town in the country. Watu wote watakaopisha mradi watajengewa nyumba. Halafu kauli mbiu yao ni Urafiki halafu Biashara sio hawa wachimbaji tulionao ambao jamii zamaeneo husika hata maji tuu shida, shule shida Zahanati ndio shida kabisa.