Mkataba wa Maximo unasema lazima alete wachezaji toka Brazil?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,353
11,492
Tumeona mara ya kwanza maximo akiwaleta Andrey Coutinho na Genilson Santos Jaja.... jaja ameshindwa ligi ya bongo ameondoka. lakini tulipata kumsikia akicheza kupitia magazeti yetu ya hapa bongo na waandishi wetu uchwara ambao wanashindwa kuchambua soka kiuhalisia na matokeo yake wanaingiza ushabiki.
turudi kwenye swali langu la msingi. je kulikuwa na makubaliano gani kati ya yanga na maximo kuhusu kuleta wachezaji toka brazili? je wachezaji anaowaleta wana impact gani katika soka letu? wancheza ligi gani huko kwao? wasiwasi wangu ni nini? maximo asije akawa anakuja kuwapatia wachezaji toka huko ajira. maana bado sijaona mchezaji ambaye alikuwa na ulazima wa kuja kuchezea Yanga. na kama yanga tusipokuwa makini tutajikuta kila anapoenda kwao analeta ndugu au jamaa aje kujipatia kias flan cha pesa hapa kwetu. kanuni za TFF zinasemaje kuhusu mchezaji wa nje? je anapaswa kuwa wa kiwango gani? ni yeyote tu ilimradi anatoka nje? hili ni jambo la kuangalia kwa makini sana? sasa tunaletewa Emerson De Oliveira Neves Rouqe na tunaona magazeti yameshaanza kumchezesha mpira.mengine yakimwita ni kama yaya toure na utajiuliza yamemwona wapi? haya maneno si ndo yalisemwa kuhusu jaja? leo yupo wap? YANGA TUAMBIWE MKATABA WA MAXIMO UNASEMA LAZIMA ALETE WATU WAKE WAWILI TOKA HUKO?
 
Nina mashaka kama wee ni mwenzetu,mbona aina yako ya kufikiri ni kama ya Mikia,anyway mi kwa maoni yangu yeye (Maximo) ndo Kocha na kizuri zaidi amekaa na team karibu nusu msimu ni dhahiri aligundua mapungufu ya kikosi chake,ksbb hiyo basi nashawishika kuamini kama Emerson atakuwa na mchango chanya tofauti na Jaja...tumpe muda.
 
Mkuu sio Wawili, ni wa3, maximo ana msaidizi WK nae ni mbrazil
 
alopikuja na akina Jaja alikua amekaa muda gani?
Nina mashaka kama wee ni mwenzetu,mbona aina yako ya kufikiri ni kama ya Mikia,anyway mi kwa maoni yangu yeye (Maximo) ndo Kocha na kizuri zaidi amekaa na team karibu nusu msimu ni dhahiri aligundua mapungufu ya kikosi chake,ksbb hiyo basi nashawishika kuamini kama Emerson atakuwa na mchango chanya tofauti na Jaja...tumpe muda.
 
Nina mashaka kama wee ni mwenzetu,mbona aina yako ya kufikiri ni kama ya Mikia,anyway mi kwa maoni yangu yeye (Maximo) ndo Kocha na kizuri zaidi amekaa na team karibu nusu msimu ni dhahiri aligundua mapungufu ya kikosi chake,ksbb hiyo basi nashawishika kuamini kama Emerson atakuwa na mchango chanya tofauti na Jaja...tumpe muda.

Kwa kutoa muda tu nawakubali...mnatoa muda weeeeeeeeeeee.......hadi muda wenyewe unawatoa nyie
 
kocha ndie anayehitaji mahitaji sio sisi viongozi ndio wanasajili na ndio kila wakati wa usajili tunabadilisha timu nzima
 
Back
Top Bottom