HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Upande wa TPDC tusijisumbue wao hawatokuja huku na hawatojali chochote kile kinalalamikiwa.
Upande wa Statoil Tanzania wao wataanza kufanya mambo ya damage limitation kupitia kwa chief propagandist wao (Head of PR & CRS) anaitwa Gienevieve Kassanga.
Hivi cha kujiuliza hawa STATOIL ndio wanataka kujenga mtambo wa LNG kule Mtwara wa DOLA BILIONI 40 tutaamini vipi kama kweli wako honest kwenye hayo wanayotaka kuyafanya?
Hawa wameshindwa kufanya lolote la maana kwenye CSR sasa leo tuwaamini vipi kwenye mikataba yenye Maslahi ya nchi?
Wito kwa Magufuli na Waziri Mkuu:
1. Naomba utumbue majipu wizara ya Nishati na TPDC tushachoka wengine kuandika mambo mengi.
2. Naomba uwawezeshe na ikiwezekana anzisha taasisi ambayo itasimamia na kuhakikisha wazawa wanapata fursa kuanzia kwenye menejimenti mpaka kazi za kujenga na kusupply kwenye hii mikataba (Local Content)
3. Hii kampuni ya STATOIL inatakiwa kumulikwa ili tujue wako nchi hii kwa maslahi ya nani? Na menejimenti yao ni wazawa au ni wageni? na je kama menejimenti ni wageni ina maana wazawa hawana elimu za kufanya kazi za hao wageni?
Admin wa JF naomba upost hii artcile na picha kwenye post yangu maana nimeshindwa kuipaste.
http://www.revenuewatch.org/sites/default/files/documents/tanzania_statoil_20140808.pdf
Mkataba wenyewe wa Kifisadi huu hapa naoma muusave mapema kabla haujaondolewa:
Tanzania Gas Raped.pdf - Microsoft Word Online
Mimi nitarudi milango ya saa sita mchana naelekea site kisiju naskia kuna jamaa kavamia shamba langu na huko sidhani kama nitakuwa na intaneti.
Baadae waungwana