Mkataba wa kazi gardaworld

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,212
Wakuu naombeni ushauri wa haraka ndugu zangu. Nina mdogo wangu ana diploma ya community development Ila ni mwaka watatu Sasa Hana ajira anadunda tuu mtaani.

Sasa anahitaji kujiunga security kampuni Garda world. Naombeni kujua kuhusu mikataba yao ya kazi je, wanatoa kwa muda gani na unaweza kuuvunja mkataba wakazi akipata kazi inayo endana na taaluma yake?
 
jukwaa la mahusiano na ajira wapi na wapi?
Mkuu ungeweza kujibu badala ya kuweka ilo bandiko lako ingesaidia Sana...

Nimedhamiria kubandika huku ili bandiko maana ndio Uzi pendwa na watu wengi na ninajua wengi Sana wangeupitia so ningepata majibu haraka
 
mshahara laki mbili na hamsini

akitaka kuvunja mkataba asiende kazini kwa siku tano mfululizo (absent tano) watamvunjia mkataba wenyewe (watamfukuza)
Asante kwa ushirikiano mkuu..ubarikiwe sana
 
Mm mwenyewe nnahitaji kuomba kazi kwenye hyo kampuni ya ulinzi jaman kazi mtaani hakuna. Kwa anayefaham ofisi zao au jinsi ya kutuma maombi naomba anielekeze pia na vigezo vyao. Ahsanteni
 
Mm mwenyewe nnahitaji kuomba kazi kwenye hyo kampuni ya ulinzi jaman kazi mtaani hakuna. Kwa anayefaham ofisi zao au jinsi ya kutuma maombi naomba anielekeze pia na vigezo vyao. Ahsanteni
Mtag bwana anaitwa Mkaruka. Yeye atakupa full detail
 
Kivp mkuu

Unakaa semu moja tu ulinzi mzuri wa jeshini tuu kwa wiki kama kwenye detail unasoma unalindi siku 1 au mbili inategemea na kambi na wingi wa askari kama askari mpo wengi unashanga kwa wiki unasoma gard mara moja tuu zamu ila kama askari mpo wachache gard utasoma hata mara 3 au 4 kwa wiki tena unapewa silaa na kituo cha mbali uki mko wa wili tuu uko uzuri wa jeshi ukitoka zako zamu ni utawala tuu ila kazi ya ulinzi uko binafsi kila siku ni kulinda tuu na mabogole
 
Mm mwenyewe nnahitaji kuomba kazi kwenye hyo kampuni ya ulinzi jaman kazi mtaani hakuna. Kwa anayefaham ofisi zao au jinsi ya kutuma maombi naomba anielekeze pia na vigezo vyao. Ahsanteni
Ofisi zao zipo mikocheni kwa warioba ni kiasi cha kutembea dk 5 ushafika ofisin kwao
 
Back
Top Bottom