jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,212
Wakuu naombeni ushauri wa haraka ndugu zangu. Nina mdogo wangu ana diploma ya community development Ila ni mwaka watatu Sasa Hana ajira anadunda tuu mtaani.
Sasa anahitaji kujiunga security kampuni Garda world. Naombeni kujua kuhusu mikataba yao ya kazi je, wanatoa kwa muda gani na unaweza kuuvunja mkataba wakazi akipata kazi inayo endana na taaluma yake?