Mkataba wa Awamu ya kwanza Ujenzi wa Reli ya kisasa wasainiwa jijini Dar es Salaam

kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,092
2,128
""

SGR 1.jpg

SGR 2.jpg

SGR 3.jpg

SGR 4.jpg

SGR 5.jpg
 
Naona vita ya maslahi imenoga sana kama alivyofanya yule kwenye ile Nyumba ya south Africa na Rada zilizokuwa chini ya Kipara....

Sasa naona na huyu kaamua kutibua zile % za wizi za wachina kwa msonga...........

Huyu naye akistaafu na anayekuja anatibua kama kawaida.........

Kosa ni kuwa wao ufukua vitu ambavyo watapata maslahi wawapo madarakani.......

Maana hata chenji ya Rada hakuna Mwenye uthibitisho kama ilinunua madawati maana wote ni mashahidi madawati yamekuja kununuliwa juzi na serikali ya awamu ya tano........

Kweli kila kitabu na zama zake tutakuja kujua tu aya ya Airport na Ikulu chato 2026...............
Wewe itakuwa si mtanzania kabsa.......Nina mashaka.....HIVI HAKUNA LILO JEMA KABSA awamu hii????Maana kila kitu wewe lazima uchongoe MDOMO kupitia maandishi
 
Hao uturuki wenyewe wanaishi kwa msaada halafu leo pogba anawaomba msaada
 
Sisi yetu tunatoa hongera kama kweli mtafanya na isiwe zile Uswahili Uswahili wenu. Hii reli mumeongea kuihusu tangu, nakumbuka kipindi mkituambia sasa Kagame ataisimamia, mara Mchina ambaye hata alianza kutengeneza kilomita tano kabla hamjanyakua tonge mdomoni, sasa naona mumehamia kwa Mturuki atakayeshirikiana na Mreno.

Haya mkifika, natoa hongera maana binafsi nina maslahi hapo Bongo, hivyo kama naweza kukatiza Dar-Moro-Dodoma kwa muda mfupi hivyo, basi ngoma itanoga.
 
Wewe itakuwa si mtanzania kabsa.......Nina mashaka.....HIVI HAKUNA LILO JEMA KABSA awamu hii????Maana kila kitu wewe lazima uchongoe MDOMO kupitia maandishi
Haaaah Mimi sio mtanzania nipoa Sasa kama umeshajua Mimi sio mtanzania kwanini unataka nilione jema.........

Mema yapo mengi nilishayapongeza kama Kuzuia mikutano ya kisiasa....

Kuondoa watumishi hewa......

Hayo kwangu ndio mema ambayo amefanya mkuu ila kwenye tatizo lazima niseme hata kama Mimi sio mtanzania..................

Na wewe nikuulize hivi uwa uoni baya analolifanya hata moja kila kitu kusifia?......

Hatukosoi kwa sababu tuna chuki Bali tunatoa tahathari ya yatakayokuja kujitokeza huko mbeleni............

Maana hata kwenye Escrow, bomba la Gesi na change ya Rada tulionya kuwa kuna pesa zimeliwa lakini mlibisha baadae kilichokuja kutokea kila mtanzania na asiye mtanzania anajua
 
Sisi yetu tunatoa hongera kama kweli mtafanya na isiwe zile Uswahili Uswahili wenu. Hii reli mumeongea kuihusu tangu, nakumbuka kipindi mkituambia sasa Kagame ataisimamia, mara Mchina ambaye hata alianza kutengeneza kilomita tano kabla hamjanyakua tonge mdomoni, sasa naona mumehamia kwa Mturuki atakayeshirikiana na Mreno.

Haya mkifika, natoa hongera maana binafsi nina maslahi hapo Bongo, hivyo kama naweza kukatiza Dar-Moro-Dodoma kwa muda mfupi hivyo, basi ngoma itanoga.
Tunashukuru ndugu.. at least sisi tuna viongozi wanaojali nchi...
 
Duuh! La haula! Hivi ile siku treni za kasi hivo zitakapo ingia Tanzania na mashauo yenu haya tutajificha wapi???
Wenye subra wacha tungoje InshaAllah! Tukutane hiyo siku mradi huu umekamika!!!!

Lakini alivyo sema Jamaa huyu
technically
, ni mapema sana kusifia, najua hii si kandarasi, ila ni MOU ya ushirikiano, hadi ije Kandarasi na kazi ianze,

Wamesema kazi inaanza lini??
 
Duuh! La haula! Hivi ile siku treni za kasi hivo zitakapo ingia Tanzania na mashauo yenu haya tutajificha wapi???
Wenye subra wacha tungoje InshaAllah! Tukutane hiyo siku mradi huu umekamika!!!!

Lakini alivyo sema Jamaa huyu , ni mapema sana kusifia, najua hii si kandarasi, ila ni MOU ya ushirikiano, hadi ije Kandarasi na kazi ianze,

Wamesema kazi inaanza lini??
Kama kujishaua tutajishaua tu.. maana hata nyie majirani mlijishaua sana na hiyo reli yenu mliyoibiwa..

Kuhusu kujengwa sina wasiwasi, tungoje tu.
 
Back
Top Bottom