Mkataba mwingine wa kijinga: Liganga na mchuchuma

tusubiri tuone,mala nyingi wachina niwajuawo mimi huwa hawana longolongo sana kama wa USA,wao huchukuwa mali zetu lakini pia hutuachia kitu kinacho onekana machoni na kinafaida,na mpaka ukiona wanafanya biashara nawe ujue inafaida kwako

tuendelee kusubiri tuone

Well said. Hutuachia kitu kinachoonekana kama vile Vijomba wanavyoendelea kutuachia kupitia dada zetu hawa Wachina wa Kariakoo.
 
in blue, hii fursa wanaitumia effectivelly koz kwao kuzaa ovyo ni ishu....
hahahahahahahahah, hutuachia kitu kinachoonekana = vijomba, mkuu umenivunja mbavu....
 
NDC and a Chinese firm sign a _USD 3bn deal for Mchuchuma and Liganga Mines.

As usual (for Tanzania) the shareholding structure is disturbing, as the Chinese firm holds 80% and Tanzania a mere 20%!!!

Bado tuko kule kule.......... na kelele zooote zinazopigwa, bado serikali ya ccm inatuingiza kwenye mikataba isiyo na faida kwa Tanzania.

Watazalisha umeme megawatt 600 but grid itapata 300 zingine kwa ajili ya mining ya Chuma!!!...(chuma wanataka wasafirishe kwao)

(Habari hii nimeitoa ktk facebook: imewekwa na mdau Waziri)

Wana JF,

Kwa hakili ya haraka haraka hakuna mkataba wa serikali wa 20% hata mkiangalina nchi zingine either ni 40% by 60% or 45% by 55% hawa serikali hiyo 20% by 80% huwa hakunaga hiyo watuambie hiyo 20% iko wapi nyingine sie sio wajinga kabisa
.

Kila kukicha wao wanataka kutuambia huwa mkataba siku zote kwa nchi yetu na resource zote haijawahi fika 50% by 50% or 40% by 60% kweli kweli kweli nchi ndogo kama botwsana wana mikataba mizuri sana iweje kwetu kwenye resource nyingi ndio tuwe na % ndogo kwa kila mikataba tena muhimu sana nchini
 
Kama mnaweza kuhongwa suti 5.Kila kitu kinawezekana ktk nchi hii.Mikataba ya mababu zetu bado inaendelea kuingiwa.Waliosaini mkataba huu ni walewale walioisaini yote mibovu.Sijawasikia wakitubu dhambi hiyo wala kujutia jambo hilo.Ni kitu gani kinawafanya muamini kuwa huu mkataba ni bora? Unaweza kuwa mzuri kwa ulinganifu tu lakini ni BORA?!!Hekima ya serikali hii ya CCM ni uongo,busara yao ni uongo.Try believing them you will see the results.Mbona mwalimu aliona ni heri kusubiri tupate wasomi watakaoingia mikataba iliyobora hata 15% haikuwa bora.Mwl angeamini ni bora basi tungechimba madini yetu wakati huo leo hatungekuwa na shida ya wezi hawa.

Waliosaini mkataba wa ujenzi wa Uwanja wa mpira wa taifa ambao ni wa kisasa kwa afrika mashariki na kati si ni hao walewale, na huo uwanja umekamilika na hao hao wachina unaowakandia.
 
Wana JF,

Kwa hakili ya haraka haraka hakuna mkataba wa serikali wa 20% hata mkiangalina nchi zingine either ni 40% by 60% or 45% by 55% hawa serikali hiyo 20% by 80% huwa hakunaga hiyo watuambie hiyo 20% iko wapi nyingine sie sio wajinga kabisa
.

Kila kukicha wao wanataka kutuambia huwa mkataba siku zote kwa nchi yetu na resource zote haijawahi fika 50% by 50% or 40% by 60% kweli kweli kweli nchi ndogo kama botwsana wana mikataba mizuri sana iweje kwetu kwenye resource nyingi ndio tuwe na % ndogo kwa kila mikataba tena muhimu sana nchini

Inategemea na serikali inachangia kiasi gani katika mradi huo, vinginevyo tuandanganyana.
Mataifa makubwa ama Ulaya na Marekani kuna barabara kuu nyingi na madaraja menngi tu ambayo makampuni yamewekeza. Ukiona barabara kuna ambayo kila unapopita unalipia au daraja unalipia basi ujue kuna kampuni imewekeza kwa kuijenga na mpaka gharama zitakapokamilika ndipo itakapokabidhiwa kwa serikali.

Hizi longolongo nazishangaa kwa kutotambua tofauti kubwa kati ya 20% na 3%. Au wivu wa maendeleo ya kikanda unatukandamiza badala ya kufikiria maendeleo kitaifa na jinzi serikali itakavyonufaika na mradi huo?
 
Lets wait and see, but I have my reservation about this coz none of the contract we have entered with any foreigner has any significant help to us. Kenya kuna jamaa wataka kuchimba dhahabu in the western part of the country but guess what, mkataba umetolewa wananchi waupitie for THREE months especially wanaotoka hapo then watoe maoni before goverment itie sign lakini hapa kwetu huwa tunapata habari after everything has been done,ukiuliza unaambiwa "confidential"
 
Jamani eeeh Tuanze na katiba mpya! tukishaiandika 2015 tuipige chini CCM, Chadema tuandike upya mikataba full stop tukiendelea kulalamika wakati uwezo wa kufanya mabadiriko upo mikononi mwetu wadau! itakuwa haina maana.
 
Lets wait and see, but I have my reservation about this coz none of the contract we have entered with any foreigner has any significant help to us. Kenya kuna jamaa wataka kuchimba dhahabu in the western part of the country but guess what, mkataba umetolewa wananchi waupitie for THREE months especially wanaotoka hapo then watoe maoni before goverment itie sign lakini hapa kwetu huwa tunapata habari after everything has been done,ukiuliza unaambiwa "confidential"

Lakini huu wa Ludewa ni mpango wa siku nyingi kutoka shirika la maendeleo la taifa, na uchunguzi umeanza siku nyingi sana. Wananchi wameelezwa na hata katika kampeni za uchaguzi hilo lilikuwa ni jambo mojawapo la kipaumbele. Katika hili la Wachina hakuna kificho, jambo limekuwa wazi, na hata kamati ya bunge kutembelea na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari na mapendekezo yake. Sikubaliani na mikataba mingine ya madini, lakini huu mkataba wa Ludewa una dalili za taifa kunufaika ingawa si kwa asilimia 100, lanini ni bora kuliko meingine.
 
inauma sana mi nahisi nchi imetushinda bora tubinafsishe ikulu aje mchina awe raisi tu,halafu kuna watu wanapinga kuwa sio mkataba wa kijinga ukisoma unakuta hawaelewi tofauti ya shareholding na royalities ,sasa mimi siungi mkono kabisa huu ni wizi mkubwa tu,kuwa na 20% bado ni ndogo kama serikali ingetaka 50%halafu royalties ndo 20% SERIKALI INGEWEKA KAMA SERA KWA MWEKEZAJI YEYOTE KAMA HATAKI BASI YAACHE YAKAE CHINI kwa kampuni zote za madini,kitu kimoja watu hawajui kwenye sheria ya makampuni kuna minority shareholders na majority sasa kwa issue ya tz ina maana imekubali kuwa itakuwa minority shareholder,sasa kama ukiwa mjanja{AU WAZIRI WETU ANGEKUWA SMART KIDOGO} unakuwa minority lakini si chini ya robo yani 1/4 au 25%hii ina maana shareholders wakitaka kupitisha resolution yeyote kwenye AGM ANNUAL GENERAL MEETING tanzania minority shareholder angeweza kupinga azimio lisipite,sababu kisheria lazima zaidi ya 3/4,sasa kwa maana tanzania share walizopewa hazina nguvu hiyo co inaweza kuwa ikapata faida na tanzania isipate gaio la faida sababu lazima lipitishwe na AGM na likienda kule wachina wanaweza sema hatugawi faida mwaka huu tuna re invest faida tulipata, je tz itazuiaje hapo? swala la kusema serikali ichangie hela mimi sielewi linakuja kutoka wapi,madini yaliyo ardhini ndo mtaji wetu,kama mwekezaje anabisha aende kwingine basi kama atayapata,nafikiri huko tuendako kweli kuna kuchinjana njaa ikizidi na tumeisha uza kila kitu ,na wala siku si nyingi
 
NDC and a Chinese firm sign a _USD 3bn deal for Mchuchuma and Liganga Mines.

As usual (for Tanzania) the shareholding structure is disturbing, as the Chinese firm holds 80% and Tanzania a mere 20%!!!

Bado tuko kule kule.......... na kelele zooote zinazopigwa, bado serikali ya ccm inatuingiza kwenye mikataba isiyo na faida kwa Tanzania.

Watazalisha umeme megawatt 600 but grid itapata 300 zingine kwa ajili ya mining ya Chuma!!!...(chuma wanataka wasafirishe kwao)

(Habari hii nimeitoa ktk facebook: imewekwa na mdau Waziri)
inauma sana mi nahisi nchi imetushinda bora tubinafsishe ikulu aje mchina awe raisi tu,halafu kuna watu wanapinga kuwa sio mkataba wa kijinga ukisoma unakuta hawaelewi tofauti ya shareholding na royalities ,sasa mimi siungi mkono kabisa huu ni wizi mkubwa tu,kuwa na 20% bado ni ndogo kama serikali ingetaka 50%halafu royalties ndo 20% SERIKALI INGEWEKA KAMA SERA KWA MWEKEZAJI YEYOTE KAMA HATAKI BASI YAACHE YAKAE CHINI kwa kampuni zote za madini,kitu kimoja watu hawajui kwenye sheria ya makampuni kuna minority shareholders na majority sasa kwa issue ya tz ina maana imekubali kuwa itakuwa minority shareholder,sasa kama ukiwa mjanja{AU WAZIRI WETU ANGEKUWA SMART KIDOGO} unakuwa minority lakini si chini ya robo yani 1/4 au 25%hii ina maana shareholders wakitaka kupitisha resolution yeyote kwenye AGM ANNUAL GENERAL MEETING tanzania minority shareholder angeweza kupinga azimio lisipite,sababu kisheria lazima zaidi ya 3/4,sasa kwa maana tanzania share walizopewa hazina nguvu hiyo co inaweza kuwa ikapata faida na tanzania isipate gaio la faida sababu lazima lipitishwe na AGM na likienda kule wachina wanaweza sema hatugawi faida mwaka huu tuna re invest faida tulipata, je tz itazuiaje hapo? swala la kusema serikali ichangie hela mimi sielewi linakuja kutoka wapi,madini yaliyo ardhini ndo mtaji wetu,kama mwekezaje anabisha aende kwingine basi kama atayapata,nafikiri huko tuendako kweli kuna kuchinjana njaa ikizidi na tumeisha uza kila kitu ,na wala siku si nyingi
 
Lakini huu wa Ludewa ni mpango wa siku nyingi kutoka shirika la maendeleo la taifa, na uchunguzi umeanza siku nyingi sana. Wananchi wameelezwa na hata katika kampeni za uchaguzi hilo lilikuwa ni jambo mojawapo la kipaumbele. Katika hili la Wachina hakuna kificho, jambo limekuwa wazi, na hata kamati ya bunge kutembelea na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari na mapendekezo yake. Sikubaliani na mikataba mingine ya madini, lakini huu mkataba wa Ludewa una dalili za taifa kunufaika ingawa si kwa asilimia 100, lanini ni bora kuliko meingine.

Yes. Inaweza kuwa ni bora kuliko mingine, lakini ndio ubora wa kiwango kinachotakiwa? Ndugu Candid scope umekuwa ukitetea sana huu mradi kwa sababu umechukuliwa na wachina, well kuhusu waliochukuo sio ishu, ishu ni kuwa waliochukua sio watanzania. USD 3bn ni sawa na Tsh around 5tr,... ina maana tungekuwa makini tungeshindwa kuwekeza 5tr hata kama ni miaka mitano ijayo.

Tuje kwenye outcomes za mradi... Hii ni migodi inayozalisha raslimali muhimu na adimu sana kwa taifa letu. Je, makubaliano ni yapi? Watakachozalisha kitawekwa kwenye "soko la dunia"? Hivi kuna mtu anayewaza kuwa miaka sio zaidi ya kumi ijayo wakati ambapo taifa litakuwa linahitaji zaidi ya MW 10,000 za umeme, tutazalishaje umeme? Tutatumia maji? yako wapi? Mi nadhani ni bora tuuze dhahabu, almasi, tanzanite, lakini tusiuze makaa ya mawe, wala uranium nje. Tusiuze chuma nje ndugu watanzania, nchi yetu bado inahitaji mabilioni ya tani za chuma kujenga majumba, madaraja, barabara, mashine, reli, viwanja vya ndege, irrigation systems, zana za kilimo, na vitu chungu mzima. Tukiuza chuma chetu leo, tutalia kesho...

Binafsi nasema kuwa kama taifa tunaendelea polepole, lakini sio kiasi cha kuamua kukamua the vital nonrenewable natural resources zetu, we can tolerate. Chuma, makaa ya mawe, uranium jamani tusiuzeeee....
 
Tunahitaji kutumia akili sasa hivi badala ya vionjo na hisia za kiitikadi. Mradi una manufaa kwa taifa na wakazi wa huko may be over 50% kuliko vioja vya machimbo mengine ya madini.

Mkapa alihemekea kuchukua mradi wa makaa ya Kiwira Mbeya, yamemshinda na sasa yuko analima ngano huko Korogwe - Tanga. Mradi huo unahitaji uwezo mkubwa sana, tusidanganyane kwamba ipo siku tutapata uwezo kufanya wenyewe wakati ya msingi tu yanatushinda. Serikali kazi yake kukusanya kadi si kufanya kazi ya makampuni itajimaliza.
 
nilisoma hii habari nilipofika kwenye % za mgawanyo wa mapato nikafunga gazeti nikaendelea na shughuli nyingine..kwani kuna ulazima gani wa kuyachimba kama sisi wenye madini tunapata chini ya robo ya faida yote?ALIETULOGA SIJUI NANI
 
Huku kukandia kila kitu tuachane sasa. Kila kitu kibaya tu hakuna chema.

Mikataba yote ya madini nchini serikali inapata 3% tu.
Huu mtakata wa Makaa ya mawe na chuma Ludewa serikali inapata 20% na papo hapo kuwa na faida ya umeme kuingizwa kwenye grid ya Taifa. Ni machimbo gani ya madini yenye mkataba wenye unafuu kama huu.

Hata hivyo bado kuna ongezeko la baadaye la serikali kupata zaidi baada ya mradi kuimarika. Hizo megawatt 300 wanazotaka zibaki kwenye eneo la mradi ni jambo zuri la kusubiria maana ni dalili kwamba kutakuwa na kazi za ajira kutokana na mipango yao.

Ikumbukwe kwamba serikali hapa haichangii pesa, ila mwekezaji ndiye anayeingia gharama zote tofauti na baadhi ya mikataba ambayo serikali ilishawekeza.

Watanzania tuweni na mtazamo mpana vinginevyo malalamiko yasiyo na msingi yatarudisha nyuma maendeleo.
Hapo umeshindwa kutofautisha serikali inapata nini kama kodi na shareholders??
Serikali kupata siyo ishu maana kodi lazima ichukuliwe....but shareholders!!!!... ardhi yetu madini yetu...Serikali inatakiwa iwe inanunua share za kutosha hata asilimia zaidi ya 40 ikiwezekana hata kupitia domestic investors....au ingeweka wazi kwamba 40% of share ziuzwe kwa domestic investors ili kuongeza ajira kwa wazawa na transfering of technology. Kuwapa foreigner 80% share hata vyuma vya kujenga madaraja havitapatikana.
Otherwise sioni zitto alienda kusimamia nini pale kama naye hakuona hilo.
 
nilisoma hii habari nilipofika kwenye % za mgawanyo wa mapato nikafunga gazeti nikaendelea na shughuli nyingine..kwani kuna ulazima gani wa kuyachimba kama sisi wenye madini tunapata chini ya robo ya faida yote?ALIETULOGA SIJUI NANI

Mmelogwa nyie mliozoea kukaa na giza. Watanzania ni watu wa ajabu sana. Miaka 50 ya uhuru tuna megawatts 420 za umeme. Makaa ya mawe tele tunayo. Eti wawekezaji wazawa!!!!!!! Mkapa mzawaw mwenzetu tulimpa kiwira na ameshindwa kuuendeleza ule mgodi due to lack of funds. Sichuan Hongda wanakuja na mtaji wa tshs 5 trillion tano, fedha ambayo ni nusu ya bajeti ya serikali yetu ya tanzania kwa mwaka. Ni lazma tufike mahali sasa kwenye baadhi ya mambo tuache kuwa watu wa maneno maneno tu kama wana magamba. Hayo ndo maamuzi magumu ambayo huwa tunayataka yafanywe na serikali yetu. Hatuwez kuwa tuna kaa kwenye giza na makaa ya mawe tunayo kule Ludewa. Mungu anatushangaa na si ajabu na yeye anajiuliza hivi hawa watz wamelogwa na nani, maana nimewapa kila kitu, na wao wanaamu kubaki wanabishana tu kwenye jukwaa la jf.
 
Lakini huu wa Ludewa ni mpango wa siku nyingi kutoka shirika la maendeleo la taifa, na uchunguzi umeanza siku nyingi sana. Wananchi wameelezwa na hata katika kampeni za uchaguzi hilo lilikuwa ni jambo mojawapo la kipaumbele. Katika hili la Wachina hakuna kificho, jambo limekuwa wazi, na hata kamati ya bunge kutembelea na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari na mapendekezo yake. Sikubaliani na mikataba mingine ya madini, lakini huu mkataba wa Ludewa una dalili za taifa kunufaika ingawa si kwa asilimia 100, lanini ni bora kuliko meingine.

Candid scope, nilikuwa sikupendi kwa sababu mbali mbali (uni pm nitakwambia) lakini kwa hoja zako za leo nimekupenda. Kwasababu mejenga hoja zako kiuzalendo bila kujali itikadi. Naomba niungane na wewe kuwa huu mkataba ambao tumesaiani nA wachina ni the best mining in tanzania ever. Kwa taarifa yako, katika mikataba mingine ya madini iliyopo sasa hivi, hata ile ya barrick watanzania tuna 0% shares. Wawekezaji wana miliki hisa zote kwa 100%. Ardhi ni yetu na madini ni yetu. The only thing tunapata ni royatly ya 3%. Kwenye royalty wachina watatupatia 5% royalty. Kwa hiyo ni kwa mara ya kwanza safari hii from 0 tumepanda mpaka 20% shares. Haya ni mafanikio makubwa. Lakini pia kuna kipengele kinacho ruhusu shares za watanz kupanda mpaka 49% kwa kununua. Kwa hiyo nilitaka niliweke bayana kuwa walao sasa tuna 20% lakini kwingine tuna 0% as of now. Lakini jambo jingine, ni kwamba si vyema kulinganisha madini ya vito na miradi ya liganga na nchunchuma. Dhahabu ikichimbwa wanaondoka nayo. Makaa ya mawe ya liganga na nchunchuma yakichimbwa hawaondoki nayo. Wanazalisha umeme ambao tunauunguza kwenye gridi ya taifa. Chuma kile kikichimbwa mkataba unasema watatoa final products kule kule ludewa.
 
Inategemea na serikali inachangia kiasi gani katika mradi huo, vinginevyo tuandanganyana.
Mataifa makubwa ama Ulaya na Marekani kuna barabara kuu nyingi na madaraja menngi tu ambayo makampuni yamewekeza. Ukiona barabara kuna ambayo kila unapopita unalipia au daraja unalipia basi ujue kuna kampuni imewekeza kwa kuijenga na mpaka gharama zitakapokamilika ndipo itakapokabidhiwa kwa serikali.

Hizi longolongo nazishangaa kwa kutotambua tofauti kubwa kati ya 20% na 3%. Au wivu wa maendeleo ya kikanda unatukandamiza badala ya kufikiria maendeleo kitaifa na jinzi serikali itakavyonufaika na mradi huo?

wengine humo ni watoto mkuu wanaongea mambo waliyoambiwa kwenye FACEBOOK
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom