Jamhuri ya Zanzibar
Senior Member
- Jul 17, 2012
- 126
- 195
Haitakua rahisi kama mnavyofikiri,
Ule udongo waliochanganya Mwl. Nyerere na Mzee Karume una maana kubwa sana kwa hili Taifa.
Karume hakuchanganya udongo, picha zipoHaitakua rahisi kama mnavyofikiri,
Ule udongo waliochanganya Mwl. Nyerere na Mzee Karume una maana kubwa sana kwa hili Taifa.
Hakuna mtu mwenye asili ya Tanganyika, Zanzibar wala popote pale, binadamu wote wana asili ya shahawa. So asili yako ni shahawa.
Hakuna mtu mwenye asili ya Tanganyika, Zanzibar wala popote pale, binadamu wote wana asili ya shahawa. So asili yako ni shahawa.[/QUOTE)
Hahaha ya leo kali!
tunaitaka tanganyika yetu
Wazanzibar kama walifikiri kukataa muungano ni rahisi wasubiri wimbi la wasomi watakaorudi Zenji kutoka Tanganyika kwa kukosa working permit na Wapemba watakaorudi zenji kwa kufukuzwa Tanganyika huku wakiacha maduka na biashara zao. Serikali ianze kutaifisha magorofa yaliyoko pale Kariakoo kwani mengi ni ya Wapemba ili washike adabu. Sisi ambao tuko Tanganyika nina uhakika hatutapoteza kama wa zenji kwani hata uchumi wao utashuka.
Tuanze kuwa na Rais na makamu wetu wa kwanza wa rais Mtanganyika
Hakuna mtu mwenye asili ya Tanganyika, Zanzibar wala popote pale, binadamu wote wana asili ya shahawa. So asili yako ni shahawa.
Ongozaneni wewe, Mtikila, CCM, nyooote mkanzishe valangati Butiama angalau muwasaidie waZanzibari katika harakati hizi. Nendeni kule na machepeo/mapauro yenu na toeni kipindi cha wiki moja tu, msipopata Tanganyika yenu fukueni kaburi!!!, na anayekuja kukusimamisheni piganane nae. Kinyume na hivyo, shika(shikeni) adabu zenu wanafiki wakubwa nyieeeee. Nani anaekuzuilieni Tanganyika yenu?!
Hatujawahi kusikia hata Mtanganyika mmoja aliyepoteza roho kwa madai haya, anza wewe kama mkweli.