Mkataa asili yake mtumwa!!!

Jamhuri ya Zanzibar

Senior Member
Jul 17, 2012
126
195
mkataa kwao.jpg

Ni Tanganyika au Tanzania Bara????
 
Haitakua rahisi kama mnavyofikiri,
Ule udongo waliochanganya Mwl. Nyerere na Mzee Karume una maana kubwa sana kwa hili Taifa.
 
Haitakua rahisi kama mnavyofikiri,
Ule udongo waliochanganya Mwl. Nyerere na Mzee Karume una maana kubwa sana kwa hili Taifa.

tunaitaka Tanganyika yetu,udongo una nini kitakachofanya Tanganyika ishindikane kurudi toka ilikofichwa
 
Kertel
Sasa asili ya Tanzania ni ipi kama udongo hauna maana?
Nchi sio jina ni aridhi na milki yake tusibebe mambo kirahisi Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Lugha Moja, watu waMoja, tabia Moja, elimu Moja, utamaduni Mmoja = nchi moja...
iliyobakia ni ni SIASA hizo wasitubabaishe. We will always remain ONE forever.
 
Wazanzibar kama walifikiri kukataa muungano ni rahisi wasubiri wimbi la wasomi watakaorudi Zenji kutoka Tanganyika kwa kukosa working permit na Wapemba watakaorudi zenji kwa kufukuzwa Tanganyika huku wakiacha maduka na biashara zao. Serikali ianze kutaifisha magorofa yaliyoko pale Kariakoo kwani mengi ni ya Wapemba ili washike adabu. Sisi ambao tuko Tanganyika nina uhakika hatutapoteza kama wa zenji kwani hata uchumi wao utashuka.

Tuanze kuwa na Rais na makamu wetu wa kwanza wa rais Mtanganyika
 
Najua Kamanda Mtikila 2015 atanyanyasa
sana akiwa hana Chama km aliyokuwa anataka
tangu zamani.

Ndiyo mwenye nguvu ya Tanganyika
kuifanya irudi haraka.
 
tunaitaka tanganyika yetu

Ongozaneni wewe, Mtikila, CCM, nyooote mkanzishe valangati Butiama angalau muwasaidie waZanzibari katika harakati hizi. Nendeni kule na machepeo/mapauro yenu na toeni kipindi cha wiki moja tu, msipopata Tanganyika yenu fukueni kaburi!!!, na anayekuja kukusimamisheni piganane nae. Kinyume na hivyo, shika(shikeni) adabu zenu wanafiki wakubwa nyieeeee. Nani anaekuzuilieni Tanganyika yenu?!

Hatujawahi kusikia hata Mtanganyika mmoja aliyepoteza roho kwa madai haya, anza wewe kama mkweli.
 
Wazanzibar kama walifikiri kukataa muungano ni rahisi wasubiri wimbi la wasomi watakaorudi Zenji kutoka Tanganyika kwa kukosa working permit na Wapemba watakaorudi zenji kwa kufukuzwa Tanganyika huku wakiacha maduka na biashara zao. Serikali ianze kutaifisha magorofa yaliyoko pale Kariakoo kwani mengi ni ya Wapemba ili washike adabu. Sisi ambao tuko Tanganyika nina uhakika hatutapoteza kama wa zenji kwani hata uchumi wao utashuka.

Tuanze kuwa na Rais na makamu wetu wa kwanza wa rais Mtanganyika

Wafanye njia ipi tena iliyobakia ili wapate kutoka katika huu Muungano??? Na kama sababu zenyewe ni hizi, kwamba ukivunjika nyinyi mtapata faida na wao watapata hasara, kwanini tena muwashikilie kwa lazima ndani ya Muungano? wakisema wanatiwa ndani, wakiandamana wanapigwa risasi, taabu juu ya taabu, ambazo hakuna MTanganyika anaezipata kutokana na sababu kama hizi. Kwanini kama sio ukweli kwamba kwa kuwepo Muungano ndio nyinyi mnafaidika na mnachelea ukivunjika ndio mtapata hasara? Anayepiga kelele kwenu nyinyi ni Mtikila, na ni nyinyi wenyewe ndio mnaechukulia kama punguani, kinyume na hivyo msingemuacha hata maandamano aandamane peke yake? si mnamuona kama mgonjwa wa akili tu nyinyi? ---- maandamano ya mtu mmoja?? kama sio wenda wazimu??

Kwa akili ya kitoto tu basi unayosema hayaleti maana, lakini kwa akili ya kiutu uzima na kitaalamu, you are too simplistic, m-babaishaji na mpindua maneno tu. Ama vinginevyo huna ulilonalo zaidi ya ufisadi na ubaya wa roho kiasi kwamba itapotokea wakikushinda wanaokupagania upate Tanganyika yako (waZanznibari) kwa hoja muafaka katika kuurekebisha au kuuvunja muungano, basi ndio utayafanya unayoyasema hapa, regardless, fisadi mkubwa weweee!
 
Hakuna mtu mwenye asili ya Tanganyika, Zanzibar wala popote pale, binadamu wote wana asili ya shahawa. So asili yako ni shahawa.

Ukiona mbwa analalamika sana ujue jiwe limemuingia :majani7::majani7:ndipoooooooooooooooooo
 
aanze babaako hamna akili vilaza midebwedo ya zenjiiii

Back
Top Bottom