MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Ukuryani,kule ukiwa na pesa plus mali kama ng'ombe, majumba wazee wanakuheshimu sana na pia ukawapa hela za pombe, wewe ni mfalme.
Wanajitia mafala ili ukengeuke wakudake, wakunyonge kwa dawa za dole gumba ufe wakuzike wakuenzi kimasonia yeess kimasonia Usiruhusu wakuheshimu wao.
 
Mkuu Sasa wewe unabishana na kisa ambacho mtu namjua A to Z.

Halafu maisha yangu wewe umeyajuaje?

Jf bhana🙌🏼😃😃
Mkuu achana nae turud kweny post yako, Je unazijua taabu za umasikini vizuri hakuna kitu ambacho sis wakurya tunachukia na kukikataa kama umasikini watu tuko tayar kukaa meza moja na Lucifer kusain deal hatuogopi chochote maana mentality yetu ni kwamba Great men must be wealthy and powerful ukiwa una pesa nyingi halaf huna ulinzi wowote mwanamke wako uliyenae anakumaliza kivyovyote kilain maana yake When u get rich enemies start from your own feet.
 
Hela ya shetani haiendi bure ni lazima zitakuadhibu tu utoe damu.Poleni Sana mlioingia mkataba na shetani kupata mali za mateso zawafaa nini mna mali bila furaha huku hukumu ya Mungu ikiwangojea kwa kumwaga damu za watu kwa upumbavu wa kupata vya kupita.
Tuna heri sisi tuliopata utajiri kwa halali kwa uweza wa Mungu tunafurahia maisha na watoto na wazazi wetu raha mstarehe bila mateso wala hofu ya kupelekeshwa na shetani.Poleni Sana kwa maisha mliyojitakia kwa upumbavu wenu.
 
Mkuu achana nae turud kweny post yako, Je unazijua taabu za umasikini vizuri hakuna kitu ambacho sis wakurya tunachukia na kukikataa kama umasikini watu tuko tayar kukaa meza moja na Lucifer kusain deal hatuogopi chochote maana mentality yetu ni kwamba Great men must be wealthy and powerful ukiwa una pesa nyingi halaf huna ulinzi wowote mwanamke wako uliyenae anakumaliza kivyovyote kilain maana yake When u get rich enemies start from your own feet.
Ingekuwa unaishi milele zingekuwa na maana.Askofu wa madini Arusha Kanumba yupo wapi zimewasaidia nini sasa hizo mali leo wapo kuzimu wanatumikishwa na shetani si bora kuwa masikini huna amani,pili TANZANIA kuwa masikini ni kujitakia yaani unashindwa hata kulima,kuvua,kufukua madini bure tu na unapata utajiri bila kudungwa chale.
 
Unapochangia mada kama hizi weka mihemko pembeni wew uliona wapi mtu akitumikishwa huko kuzimu ??
Ni maneno tu ya vijiwe unachukua na kuyafanya kama kweli,,
Na kitu hakihitaji kuwepo milele ili kiwe na maana tazama maisha ya watu hapa dunian utasema kuwa hayakuwa na maana kisa walikufa??
 
Ungekuwa na elimu ya mambo ya ulimwengu usioonekana ungeelewa
 
Back
Top Bottom