Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,225
Mfyuuu....karudie na binam ako mzaa nyanyako shemeji wa bibi ako,.kilembwe cha babu ako😛Kimoja tu?!? Turudie mara ya mwisho please!!!!!!
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Mfyuuu....karudie na binam ako mzaa nyanyako shemeji wa bibi ako,.kilembwe cha babu ako😛Kimoja tu?!? Turudie mara ya mwisho please!!!!!!
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Ni baba yake mkubwaHuyo mwandishi ni mtoto/ndugu wa mtunzi na mwandishi H.H Katalambula???
Inaendelea ondoa shaka
Kama unataka kutumiwa WhatsAppelfu mbili ya nini mkuu??
'Gear yourself to solutions in every problem'
Naam,.ahsante kwa muendelezo
Uwe unakuja mwenyeweNaam,.ahsante kwa muendelezo
Uwe unaniita kila episode
Hakuna noma ila kuna mawili kama una haraka nenda WhatsApp kama unataka twende sawa kama tunacheza Kwaito subiri hapaMm nitakuwa naisoma hii stori hapahapa tu sio whatsapp mkuu
'Gear yourself to solutions in every problem'
SawaUwe unakuja mwenyewe
Saa 3:30 usiku uwepo hapa maana nitaporomosha sio mchezoSawa
We jamaa bwana. Nilianza kwa kuamini ulichokiandikaNi Mdogo wake shangazi yake na mama wa kambo wa mjomba ake baba Mdogo aliyekua amemuoa mjukuu wa bibi yao na babu
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk