Umiliki wa mali na roho vinahusianaje hapoIli umuelewe lazima uwe na roho mtakatifu alaf uwe unamiliki mali
Itakuwa vyema akija kufanya hivyo aisee, sijui jamaa huwa anawaza nini code zina tarehe kabisaNgoja aje atufungulie code
Ila nimepitia ule uzi sema sikumaliza maana unahitaji muda na mafikirio sana maana vitu vingi vimeongelewa ila kikubwa Zaidi ni imani hasa akijikita Kwenye imani ya majini.Itakuwa vyema akija kufanya hivyo aisee, sijui jamaa huwa anawaza nini code zina tarehe kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Najisikia tu curious jamaa bora angekuja ku unlock code mbili tatu nipate muongozoKwa nini unataka kujichosha mzee?
Kuendelea deep unakuta tena vitu vinamkanganyiko ishu kama za ujasusi hiviIla nimepitia ule uzi sema sikumaliza maana unahitaji muda na mafikirio sana maana vitu vingi vimeongelewa ila kikubwa Zaidi ni imani hasa akijikita Kwenye imani ya majini.
Na wewe utakuwa kichaa
Wewe unaambiwa humu ndani wapo na vichaa.unauliza ufafanuliwe.
Huwezi kusema hivyo from no where lazima kuna sababu ambazo hukuzitaja au kama umeropoka tu basi na wewe ni mmoja wapoWewe unaambiwa humu ndani wapo na vichaa.unauliza ufafanuliwe.
Si kichaa na wewe?
Naona unazidi kutuchanganya tuKWA WAUMINI WA KANISA A
WAKATI WA MATANGAZO KUTOKA MEZA YA WAZEE, KWA MARA YA KWANZA MTOA MATANGAZO ALISIKIKA AKITAJA NENO "KANISA JIPYA" BADALA YA "JENGO JIPYA", KITENDO KINACHOONYESHA KUWA MTOA MATANGAZO HAYO ALIKUWA NA.TAHADHARI FULANI ILIYOPELEKEA ASITUMIE NENO JENGO JIPYA AMBALO NDIYO HUWA ANATUMIA SIKU ZOTE. HIVYO ALIKUWA ANAJUA KILICHOKUWA KINAENDELEA J2 HIYO. SIKU XOTE MTU HUYU HUWA ANATUMIA NENO JENGO JIPYA, KWA NINI AWE NA TAHADHARI SIKU HIYO? NO KWA SABABU ANGALAU ALIKUWA ANAJUA.KITU FULANI. NENO HILO ALILITAMKA KIPINDI ALIPOKUWA ANAFANYA MGAWANYO WA MAOMBI KWA WAUMINI KUFUATANA N.A. SEHEMU WALIXOKUWA WAMEKAA
Haya kaka.acha nikuache na Kaka yako makanyagaHuwezi kusema hivyo from no where lazima kuna sababu ambazo hukuzitaja au kama umeropoka tu basi na wewe ni mmoja wapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kiongozi na mods washaunga uziHaya kaka.acha nikuache na Kaka yako makanyaga