Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,326
- 6,849
- Thread starter
- #801
KWA KIFUPI SANA
Kinachomsababishia shida kubwa sana mhusika ofisini kwake kwa muda huu ni kuwa mwezi wa 9 mwishoni alirudi kutoka likizo na kukuta barua ya majibu ya madai kuhusiana na barua yake aliyowahi kuiandika APRIL 2021,. Barua hiyo ya majibu iko very negative na vilevile ameshindwa kujua iliaindikwa na nani. Ilitarajiwa kuwa mhusika angeweza kushughulika na barua hiyo kipindi hicho cha mwezi 9, lakini yeye hakufanya hivyo na badala yake aliamua kusubiria wanafunzi warudi kwanza ndiyo naye aanze tena kushughulika na hatua zingine MPYA za kudai maslahi yake hayo. Hatua hiyo ya mhusika kuamua kutokushughulika na swala la maslahi yake mwezi wa 9 na wa 10 na kuamua kuyashughulikia muda huu ndiyo hiyo inayompa mda mgumu hadi sasa.. MAELEZO YA KINA NA KWA KIREFU ZAIDI YATAFUATA BAADAYE
MUBARIKIWE TENA NA BWANA