Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,326
- 6,849
- Thread starter
- #781
UPDATE: FRIDAY 17 SEPTEMBER 2021
J2 YA TAREHE 05 SEPTEMBER 2021 HAPAKUWA NA TANGAZO LOLOTE “KANISA A” LA KUWA JULISHA WAUMINI KUWA KUTAKUWA NA UJIO WA WATUMISHI (WAHUDUMU) WAGENI J2 ILIYOKUWA INAFUATA YA TAREHE 12 SEPTEMBER 2021
COINCIDENCE (YA KAWAIDA TU) ILIYOTOKEA BAADA YA WATUMISHI WOTE WENYEJI WA KANISA A KUTOKUSIMAMA MADHABAHUNI J2 HIYO YA TAREHE 12 SEPTEMBER 2021
Ni kwamba somewhere kuna msiba mzito umetokea, wiki hii
Kwa kawaida yake, mara zote mhusika amekuwa akifuatilia sana swala la nani alisimama madhabahuni J2 iliyopita, kufuatia wiki ya tukio lolote la msiba linalokuwa limempata
Safari hii imekuwa tofauti kidogo kwamba amepata tukio la msiba kwenye wiki ambayo J2 iliyopita hapakuwa na mhudumu mwenyeji aliyesimama kwenye madhafbahu ya Kanisa A kwa ajili ya huduma ya Ibada ya J2
Mhusika ameamua kuileta kwenu coincidence hii kwa sababu hata huko nyuma alishawahi kutanhibisha kuwa kuna baadhi ya J2 ambazo watumishi wa Kanisa A huwa wanakakwepa kupanda madhabahuni wao wenyewe hasa pale wanapokuwa wamejua kuwa wiki inayofuata kutakuwa na tukio lisilo zuri.
Huwa wanafanya hivyo katika kujaribu kupunguza maswali kwamba ‘NANI ALISIMAMA MADHABAHUNI J2 HIYO”?
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

- Badala yake kulikuwa na wahudumu wageni ambao tangazo la ujio wao halikuwa limetolewa J2 ya nyuma yake
- Ujio wa wahudumu hao wageni ulikuwa wa ghafla na kwa waumini walio wengi, na ulijulikana siku hiyo hiyo ya J2 ambayo watumishi hao wageni waliletwa kuja kutoa huduma