Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,327
- 6,850
- Thread starter
- #981
KILICHOTOKEA SIKU HIYO KABLA YA SERVICE YA INJINI KUANZA
Baada ya oil iliyokuwemo kwenye injini kuwa imemwagwa; MTU HUYO alishauri kwamba kabla ya kufanyiwa service ya injini; mhusika inabidi airudishe gari kwa fundi mekanika kwanza, kwa sababu ilikuwa inaonyesha kuna leakage ya oil inatokea kwenye injini. Kwa maana hiyo MTU HUYO alikuwa anai-refer gari irudi kwa FME kwanza kabla ya kufanyiwa service ya injini siku hiyo
Fundi umeme mgeni aliyekuwa ameletwa na MTU HUYO siku hiyo alikuwa ameshaandaliwa kabla, maalum kabisa kwa ajili ya kuja kuharibu kabisa mfumo wa umeme wa gari; na fundi mwenyeji wa siku zote wa gari angeweza kuja kuthibitisha hilo pasipo shaka yoyote
Yaliyotokea siku hiyo ni mengi ila kwa kifupi tu mwandishi wenu anaomba aishie hapa kwa tukio hili
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

- Mhusika alimjibu MTU HUYO kwamba hayo mambo mengine ayaache; amwachie mhusika. Yeye alichotakiwa siku hiyo ni kufanya kazi aliyokuwa anatakiwa kufanya
- Mbali na hivyo, MTU HUYO hakuwa hasa aliyekuwa anahusika na service ya gari la mhusika, isipokuwa alikuwa amejipachika tu mamlaka hayo siku hiyo, akiwa kama mojawapo wa staff wa office hiyo tu
- Mara zote gari la mhusika limekuwa likifanyiwa service na mtu mwingine ambaye ndiye aliyekuwa anaonekana kusaidiwa tu na MTU HUYO siku hiyo